IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
Amina nashukuru sasa...Pole Sana, Kwa Uwezo Wa Mungu Utapona Kupitia Tiba Unayopatiwa
Ahsante.. classmate πππPole sana
[mention]ye34nbe [/mention] hajaja kukuona
Wameniambia vidonda vya tumbo, Vimesababishwa na pombe kali...Walisema Nini Kwa maana hata mie naumwa hivyoo
Kweli nashukuru..Pole Sana nakutakia kupona Kwa haraka urudi tulipe kodi
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Ninavyoo Tena vikali sana ni vibayaWameniambia vidonda vya tumbo, Vimesababishwa na pombe kali...
pole sana kijanaπππππ dah! Sawa bhanaπππππ
AminaPole Sana, Kwa Uwezo Wa Mungu Utapona Kupitia Tiba Unayopatiwa
we umejuaje hana utelezi πhahaha coca hakosi ngoma kwa sababu hana uteleziπ jamaa acheki ngoma kabisa
Pole..sanaNinavyoo Tena vikali sana ni vibaya