Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Mwanaume anapataje ujauzito? au kalogwa?Nashauri;; maombi yetu yasitolewe kizembe km mgonjwa anavyohitaji!! Angalia ujauzito mkuu!!
Asante 😳😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume anapataje ujauzito? au kalogwa?Nashauri;; maombi yetu yasitolewe kizembe km mgonjwa anavyohitaji!! Angalia ujauzito mkuu!!
Asante 😳😳
Pole sana mkuu,ulikula chakula kibaya nini...?View attachment 2633655
Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo...
Maombi yenu please nipate ahueni mapema..
Ahsante..
Kwa vyakula anavyokula vile vile bado utelezi hana🤣we umejuaje hana utelezi 😂
DahWalisema Nini Kwa maana hata mie naumwa hivyoo
Mimi alpha male...Nashikaje ujauzito sasa😂😂😂Nashauri;; maombi yetu yasitolewe kizembe km mgonjwa anavyohitaji!! Angalia ujauzito mkuu!!
Asante 😳😳
Nimehisi hivyo kunakitu nilikula ndio kimeniletea shida..Pole sana mkuu,ulikula chakula kibaya nini...?
waache watu wafaidi penzi lao 😂Kwa vyakula anavyokula vile vile bado utelezi hana🤣
Kweli ni kaka nishachukuliwa vipimo vyote..IamBrianLeeSnr pole sana brother. Pima amoeba ma typhoid maana mara nyingi huwa tumboni. .
Ulikuwa unapiga vant bila kula?Wameniambia vidonda vya tumbo, Vimesababishwa na pombe kali...
Kuna mtu aliumwa tumbo akafa. Usidharau😀 Ila tupe mawasilian tuje msibani mapema kukifinyaKweli ni kaka nishachukuliwa vipimo vyote..
Emen..Thanks a lotMay Allah grant you shifaa and speedy recovery
I have been there pole mkuu..Wameniambia vidonda vya tumbo, Vimesababishwa na pombe kali...
Asante dada!Pole mkuu