Nimeumwa ghafla majira saa sita(6) mchana wa leo, Nipo hospitali nimetundikiwa drip!

hahaha coca hakosi ngoma kwa sababu hana utelezi[emoji3] jamaa acheki ngoma kabisa
Wee mchaga ni mwehuu kweliiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechekaaa hadi bas, utelezii madukani upo wa kushatooo, afu mie natumia ule OG na wa bei ghali, sasa hiyo ngoma itanikutaa mda ganii??

Nyokooooo weee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
aisee upo kama mchawi hizi nyuzi sijakutag ila unapend kufungua ma file🤣

aah mpe pole basi Mr IamBrianLeeSnr alikula mafuta ya kitimoto somewhere anaharisha🤣 alikuwa anabishana ukila mafuta ya kitimoto na bia huarishi yamemkuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…