Nimeunda File Server kwa Shilingi Laki 2, Njia Rahisi ya Kuhifadhi na Kuhamisha Mafaili

Au Jellyfin, hii itampa uhuru zaidi.
Mkuu, ume compare Plex na Jellyfin? Mimi sijapata sababu ya ku compare kwa sababu Plex inanipa kila kitu ninachokitaka kwa sasa.

Kwa nini unasema Jellyfin itampa uhuru zaidi ya Plex?
 
Hiki kitu nataka nikitengeneze pia ila kwa kuungana hardisk moja kwa moja kwa usb kwenye router ya fiber ya tigo. Nliona mtandaoni ambapo unaweza kuigeuza hiyo storage iwe accessed na pc zilizoungwa hapo
 
Mkuu, ume compare Plex na Jellyfin? Mimi sijapata sababu ya ku compare kwa sababu Plex inanipa kila kitu ninachokitaka kwa sasa.

Kwa nini unasema Jellyfin itampa uhuru zaidi ya Plex?

Mkuu Kiranga , Plex wana "features" mbalimbali ambazo Jellyfin hana ila kuzipata hizo "features" itabidi uwe na "Plex Pass". Ila Jellyfin ni "open source" na unaweza kui-"customize" na features zake ni bure.

Kwa mfano Jellyfin unaweza kutazama "content" hata kwenye "smart phones" bila kulipa chochote ila kwa Plex itabidi uwe na "Plex Pass".

Kingine kikubwa ni "Privacy", Plex wanachukua taarifa za watumiaji wao, hii inaweza kuleta changamoto hasa kama "contents" ambazo unazo kwenye server yako ya Plex haujazipata kwa njia sahihi na unazitumia vibaya. Hii inatokana kwa sababu unapotumia Plex inabidi uwe na akaunti kwao, na taarifa zinapitia kwenye "server(s)" zao. Kwa Jellyfin unakuwa na "server(s)" yako/zako na "client(s)" ambazo taarifa hazipiti kwao Jellyfin wenyewe.

Mwaka jana kuna accounts nyingi sana za Plex zilipata "ban" kwa kwenda kinyume na sheria zao, ila kama hao watumiaji wangekuwa wanatumia Jellyfin wangeweza kukwepa kupata hizo "ban".

Pia kwa kuongezea kama mtoa mada anapenda kujifunza masuala ya "open source", Jellyfin itampa mwangaza akiwa anataka kuongeza "features" mbalimbali kwenye server yake.
 
Point ya privacy ni muhinu. Hiyo ya simu mimi siangalii sana movies kwenye simu. What's the point of having all these big 4K screens and watching movies on a phone?

Halafu nikitaka kuangalia movie, kwa mfano on a big 3K tablet, or 4K laptoo, which I do sometines, Plex inakuruhusu kuangalia kwa kutumia browser. So that is not an issue.

Kwenye watu kupigwa ban naona hao wengi ni wale wanao fanya server hosting kwa watu wengine on the internet. Sijasikia mtu anayeangalia movies yeye mwenyewe tu akawa banned hivyo.

Although the privacy point still stand as they are getting your data.
 

Kabisa Mkuu Kiranga , Privacy ni muhimu sana.

Kiukweli hata mimi haizidi mara tano kuangalia content kupitia Jellyfin kwenye simu. Mara nyingi nafanya ku-search na ku-wishlist halafu baadae naziangalia kwenye big screen.

Mara nyingi nawaachia watoto waitumie Jellyfin kwenye smartphone na tablet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…