Nimeuza kiwanja na kununua simu ya ndoto yangu

Samsung wakujengee Sanamu huko Korea, sio kwa uzuzu huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ayaaaaaaa Dah, kwani mkuu hawana kanuni ya kurudisha labda? Maake nilinunulia dukani kwao kabisa Kariakoo[emoji24]
 
Umefanya jambo la maana sana.Ni vema kuifurahisha nafsi yako kabla haujafa.
 
Ee mkuu, ya hivyo hivyo [emoji24][emoji24] Tena walinianzia 5m nikawashusha hadi 4.9m
 
Sasa tafuta wa kumuuzia usikie bei utakayoambiwa.
Haoo ndipo utajua kuwa hujui
Sema fresh huko china wenzio wanauza hadi figo kununua iPhone
Mkuu, unanikatisha tamaa ya kuishi[emoji24][emoji24] Nitawaeleza vipi ndugu zangu? [emoji24]
 
Hongera Sana!! Fanya kitu ile Roho inapenda.
 
Yalaaab[emoji24][emoji24] Bora nisingekuja kuomba moyo humu
Kwanini usipongezwe wakati umetiza ndoto zako.Tafsiri ya mafanikio ni tofauti kati ya mtu na mtu,mtu mmoja mafanikio ni nyumba,mwingine simu n.k.
Kwa mara nyingine hongera sana mkuu kwa kutimiza ndoto zako.
 
Aya nenda sasa kwa hao mademu uliodhani ukiwa na simu ya kufunga na kufungua kama kitabu utatomb*
Aisee wakuu[emoji24][emoji24] Kuweni na huruma basi tujue tunafanyeje. Ni ulimbukeni tu wa ujana ndo umeniponza. Kama kuna mtu ninayeweza kumwachia walau kwa 4m tu nisaidieni nirudishe kiwanja dah
 
Unaweza. Anzisha mgogoro wa urithi wa kiwanja
Nauanzaje mkuu? Yaani nifike namwambia vipi mnunuzi? Nifike napanik na kusema nini dah[emoji26] Na mashahidi je watachukua hatua gani? Zile fomu hazitanifunga kweli?
 
Simu sio yako umegoogle picha au Nilete na uthibitisho?[emoji1787]
Picha ni ya kugoogle, ila simu niko nayo. Nimeiacha mahali kwa kuhofia huenda ikapata hitilafu nikashindwa kuirejesha[emoji24]

Nimeitunza kama yai mkuu[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hongera Sana!! Fanya kitu ile Roho inapenda.
Dah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mbona mnanikatisha tamaa wakuu. Tuzungumze basi tunafanyeje? Leo kwangu kesho kwako[emoji24][emoji24] Matatizo tumeumbiwa sote[emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…