Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Basi sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yalaaab[emoji24][emoji24] Bora nisingekuja kuomba moyo humuSafi sana.
[emoji24][emoji24]Mkuu, kwa mfano nikiirudisha wakaikubali, hakuna namna ninaweza fanya ili kubatili mauzo ya kiwanja?Uza na kingine ununue na tv curve yake Samsung, utanishukuru baadaye ukipenda.
Tatizo ni wanaukoo na wanafamilia watanichukuliaje?Chakurithi si chako, tafuta chako.
Unaweza. Anzisha mgogoro wa urithi wa kiwanja[emoji24][emoji24]Mkuu, kwa mfano nikiirudisha wakaikubali, hakuna namna ninaweza fanya ili kubatili mauzo ya kiwanja?
Ayaaaaaaa Dah, kwani mkuu hawana kanuni ya kurudisha labda? Maake nilinunulia dukani kwao kabisa Kariakoo[emoji24]Samsung wakujengee Sanamu huko Korea, sio kwa uzuzu huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umefanya jambo la maana sana.Ni vema kuifurahisha nafsi yako kabla haujafa.Habari wakuu,
Hapa nilipo nimejaa kitete siyo poa. Yaani hata sielewi, ingawa maamuzi niliyoyachukua nilishauriana na moyo wangu nikaridhika, lakini still nafsi inanisuta.
Nimeuza kiwanja changu cha urithi nilichopewa kwenye mgao wa familia, tena kiwanja kilicho barabarani kabisa. Nilitakiwa kukiuza kwa Tsh. Mil 18 (atleast), lakini nimejikuta nakiuza kwa milioni tano ili ninunue simu ya ndoto yangu kabla haijatoka kwenye chati.[emoji24][emoji24]
Tayari nishafanya yangu. Nimenunua kitu cha Samsung Galaxy Z Fold 4 kwa Mil. 4 na laki 9. Hapa mfukoni nimebaki na laki tu. [emoji24][emoji24] Kiwanja kimeenda. Naombeni mnipe moyo ili nisiugue presha mwenzenu, nafsi inatapatapa maskini[emoji24][emoji24], bora hata ningefungua biashara.
Nilivutiwa na hii simu kwa sababu imekaa kama kitabu, nikiifungua inaungana vioo viwili inakuwa kama ka TV kadogo, kamera safi na hadhi ya kimataifa.
Moyo umejaa kitete, nifanyeje? [emoji24][emoji24]View attachment 2428948
Ni kweli kabisa mkuu, yaani hapa tokea jana jioni sijala, lakini sihisi njaa kabisa. Jana usiku nimelala naota ndoto za mang'amung'amu tu[emoji24]Acha kutugiga kamba mkuu
Mkuu, unanikatisha tamaa ya kuishi[emoji24][emoji24] Nitawaeleza vipi ndugu zangu? [emoji24]Sasa tafuta wa kumuuzia usikie bei utakayoambiwa.
Haoo ndipo utajua kuwa hujui
Sema fresh huko china wenzio wanauza hadi figo kununua iPhone
Hongera Sana!! Fanya kitu ile Roho inapenda.Habari wakuu,
Hapa nilipo nimejaa kitete siyo poa. Yaani hata sielewi, ingawa maamuzi niliyoyachukua nilishauriana na moyo wangu nikaridhika, lakini still nafsi inanisuta.
Nimeuza kiwanja changu cha urithi nilichopewa kwenye mgao wa familia, tena kiwanja kilicho barabarani kabisa. Nilitakiwa kukiuza kwa Tsh. Mil 18 (atleast), lakini nimejikuta nakiuza kwa milioni tano ili ninunue simu ya ndoto yangu kabla haijatoka kwenye chati.[emoji24][emoji24]
Tayari nishafanya yangu. Nimenunua kitu cha Samsung Galaxy Z Fold 4 kwa Mil. 4 na laki 9. Hapa mfukoni nimebaki na laki tu. [emoji24][emoji24] Kiwanja kimeenda. Naombeni mnipe moyo ili nisiugue presha mwenzenu, nafsi inatapatapa maskini[emoji24][emoji24], bora hata ningefungua biashara.
Nilivutiwa na hii simu kwa sababu imekaa kama kitabu, nikiifungua inaungana vioo viwili inakuwa kama ka TV kadogo, kamera safi na hadhi ya kimataifa.
Moyo umejaa kitete, nifanyeje? [emoji24][emoji24]View attachment 2428948
Kwanini usipongezwe wakati umetiza ndoto zako.Tafsiri ya mafanikio ni tofauti kati ya mtu na mtu,mtu mmoja mafanikio ni nyumba,mwingine simu n.k.Yalaaab[emoji24][emoji24] Bora nisingekuja kuomba moyo humu
Naomba msaada wako wa kimawazo mkuu. Maji yameshamwagika, hayazoleki tena[emoji24] Muacheni kunilaumu tupange tujue tunafanyeje wakuu[emoji24]We ng'ombe. Haikosi wewe ni kijana wa 2000's
Aisee wakuu[emoji24][emoji24] Kuweni na huruma basi tujue tunafanyeje. Ni ulimbukeni tu wa ujana ndo umeniponza. Kama kuna mtu ninayeweza kumwachia walau kwa 4m tu nisaidieni nirudishe kiwanja dahAya nenda sasa kwa hao mademu uliodhani ukiwa na simu ya kufunga na kufungua kama kitabu utatomb*
Nauanzaje mkuu? Yaani nifike namwambia vipi mnunuzi? Nifike napanik na kusema nini dah[emoji26] Na mashahidi je watachukua hatua gani? Zile fomu hazitanifunga kweli?Unaweza. Anzisha mgogoro wa urithi wa kiwanja
Picha ni ya kugoogle, ila simu niko nayo. Nimeiacha mahali kwa kuhofia huenda ikapata hitilafu nikashindwa kuirejesha[emoji24]Simu sio yako umegoogle picha au Nilete na uthibitisho?[emoji1787]
Sasa ishu ya kiwanja itakuwaje sasa mkuu[emoji26] Au niende kwa mganga?[emoji24][emoji24]Umefanya jambo la maana sana.Ni vema kuifurahisha nafsi yako kabla haujafa.
Usijali kufungwa ww jali kurudisha kiwanja chako mkuuNauanzaje mkuu? Yaani nifike namwambia vipi mnunuzi? Nifike napanik na kusema nini dah[emoji26] Na mashahidi je watachukua hatua gani? Zile fomu hazitanifunga kweli?
Dah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mbona mnanikatisha tamaa wakuu. Tuzungumze basi tunafanyeje? Leo kwangu kesho kwako[emoji24][emoji24] Matatizo tumeumbiwa sote[emoji24][emoji24]Hongera Sana!! Fanya kitu ile Roho inapenda.