Nimeuza kiwanja na kununua simu ya ndoto yangu



Unafaa kuchinjwa upikiwe mtori fambaf kabisa wewe
 
Na itakutafuna kweli Mali ya urithi huwa haiuzwi au wazee hawajakuambia
Sikulijua hilo mkuu, mimi nilijua ni cha kwangu, basi namiliki mimi, hakuna wa kunipangia[emoji24][emoji24] Hata hivyo shetani alinipitia
 
Unafaa kuchinjwa ipikiwe mtoei fambaf kabisa wewe
[emoji24][emoji24]Najua nimekosea, lakini nahisi nilikuwa nimerogwa. Hata mimi sielewi imekuwaje, nimejikuta tu tayari nina samsung mkononi. Nahisi kuna ndugu ameniendea kwa mganga mkuu[emoji24][emoji24]
 
Uza na lile shati lako la kitenge lenye maua ya njano ili uinunulie protector na cover

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ficha upumbavu wako
Nimeshindwa kuweka moyoni ndio maana nimekuja hapa ili kupata faraja mkuu[emoji24][emoji24] Naombeni mnipokee tu hivyo hivyo, najua nimekosea mimi. Nimekosa sana[emoji24][emoji24]
 
Uza na lile shati lako la kitenge lenye maua ya njano ili uinunulie protector na cover

Sent using Jamii Forums mobile app
Ayayayayay[emoji24][emoji24] Hadi na wewe trudie unanihukumu jamani[emoji24][emoji24] Umesahau nilikuwa nakupa moyo ili tumpate mtoto wako ambaye mumeo alikimbia naye huko Mwanza jaman

Naomba moyo wako please[emoji24][emoji24] Nifariji kwenye hiki kipindi kizito jaman my friend, my kiss, my honey, my rollpop, my salady[emoji24][emoji24]
 
kama kutimiza ndoto ndio kuko hivi,
acha tu niendelee kuziangalia tu
 
Lakini mkuu si umetimiza ndoto zako?? Hilo ndio la msingi na hata ukisema uuze hiyo simu huwezi kukirudisha kiwanja chako tena. So enjoy na simu ya ndoto zako sijakuhukumu nimekukumbusha tuu uweke protector na cover ili isipasuke kioo mapema tukalia pamoja humu jukwaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji24][emoji24][emoji24]...[emoji2][emoji2]Imenibidi tu nicheke, hakuna namna

Lakini mwanao ulimpata?
 
[emoji24][emoji24][emoji24]...[emoji2][emoji2]Imenibidi tu nicheke, hakuna namna

Lakini mwanao ulimpata?
Bado hajarudi mkuu ingawa baba yake aliomba amalize nae likizo atamrudisha, sasa kipengele cha anamrudisha lini ndio shida. Ila uvumilivu ukinishinda nitamuendea na gari ya magazeti moto nitakaomuwashia hataamini kama ni mimi. Haitajalisha ni mtoto wake sijui bao lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hebu screenshot details za hio simu nione tunafanyaje
Ni nzuri mkuu, ina specifications za maana kabisa mkuu. Mimi hata kwa 2.5m nakuachia, kikubwa tugawane hasara, nitajua ni biashara ipi nitafanya ili kurudisha heshima kwenye ukoo japokuwa mpaka sasa hakuna anayejua hii issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…