Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Ingawa nimecheka sana
Njoo umchukue mfugo wako, mambo ya kesikesi siyataki. Hatujui hata kwa kumpelekaπ π π mimi ndiye niliyekuuzia
Namba zako za simu tafadhali mteja wangu,nakuletea German shepherdsNjoo umchukue mfugo wako, mambo ya kesikesi siyataki. Hatujui hata kwa kumpeleka
Nakupa namba ya mume wangu, mimi mambo ya majibwa sitaki tena.Namba zako za simu tafadhali mteja wangu,nakuletea German shepherds
Mteja kwangu ni mfalme nakuahidi kukufikishia Hadi kwakoNakupa namba ya mume wangu, mimi mambo ya majibwa sitaki tena.
Hamna hata Grand ma ama Grand pa huko shamba mkawape watawashukuru.Njoo umchukue mfugo wako, mambo ya kesikesi siyataki. Hatujui hata kwa kumpeleka