Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aka sitaki, nyie ndio mapongo wenyewe
Hadithi Yako inatufundisha nini?View attachment 2413649
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Hhhh huyo ni mbwa kokoView attachment 2413649

Hajasema atamtupa eneo gani , ufukwe wa Coco ni mrefu sana. Anaweza kumbwaga huku kwenye machaka jirani na Sea Cliff. Nani ataona wakati manjagu wote wameshonana kwenye mihogo?Utakamatwa pale kwa vile umeshasema utamtupa alfajiri kuna watu watabana maeneo yale!
KinyamkeraHhhh huyo ni mbwa koko
kwahiyo ukavutiwa na puppy😂😂😂😂View attachment 2413649
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
kanaona mchongo ume ungua😂😂😂Hahahahaha mimi wala nisingekufokea ila ningecheka usiku mzima aisee.
Na jinsi kafisi kanavoangalia kwa huruma hahaha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakupa namba ya mume wangu, mimi mambo ya majibwa sitaki tena.
Tulia nae tu fisi ukimdometicate yuko poa kuliko mbwa ! Just last week nilikuwa na jadili na wife kufuga fisi as a pet akikubali tuta fanya business utamleta zenji akikataa tutafanya swaping wewe na fisi mtakuja zenji wife na paka atakuja kwenu -jokeView attachment 2413649
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Utakusaidia kusafiri nyakati za usiku@MshanaView attachment 2413649