Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah,nimecheka sana aisee
 
Hadithi Yako inatufundisha nini?
 
Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
 
Hhhh huyo ni mbwa koko
 
kwahiyo ukavutiwa na puppy😂😂😂😂
 
[emoji3][emoji3][emoji3] mpeleke Bibi na babu huko kijijini atawafaa sana
 
Tulia nae tu fisi ukimdometicate yuko poa kuliko mbwa ! Just last week nilikuwa na jadili na wife kufuga fisi as a pet akikubali tuta fanya business utamleta zenji akikataa tutafanya swaping wewe na fisi mtakuja zenji wife na paka atakuja kwenu -joke
 
Utakusaidia kusafiri nyakati za usiku@Mshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…