Sasa hivi mpelekee bundi useme bata π π πNamba zako za simu tafadhali mteja wangu,nakuletea German shepherds
Kama ndio hiyo picha anaonekana kama fisi... masikio, mkia na miguu ya nyuma na mgongo...View attachment 2413649
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Mpe sumuuu tuNjoo umchukue mfugo wako, mambo ya kesikesi siyataki. Hatujui hata kwa kumpeleka
Wapelekee MaliasiliπNjoo umchukue mfugo wako, mambo ya kesikesi siyataki. Hatujui hata kwa kumpeleka
Kweli mum, asije akakuletea simba πNakupa namba ya mume wangu, mimi mambo ya majibwa sitaki tena.
Hahaha...Hahahahaha mimi wala nisingekufokea ila ningecheka usiku mzima aisee.
Na jinsi kafisi kanavoangalia kwa huruma hahaha
Mpeleke Kwa askari wa wanyamaporiNjoo umchukue mfugo wako, mambo ya kesikesi siyataki. Hatujui hata kwa kumpeleka
Coco kuna [emoji328] kama zote,watu wa control room lazima wamuone tu!!Hajasema atamtupa eneo gani , ufukwe wa Coco ni mrefu sana. Anaweza kumbwaga huku kwenye machaka jirani na Sea Cliff. Nani ataona wakati manjagu wote wameshonana kwenye mihogo?
Waraka=1Kama ndio hiyo picha anaonekana kama fisi... masikio, mkia na miguu ya nyuma na mgongo...
Utakuja wekwa matatizoni, huyo ni nyaraka ya taifa..
Nyara in English Government Trophies.Kama ndio hiyo picha anaonekana kama fisi... masikio, mkia na miguu ya nyuma na mgongo...
Utakuja wekwa matatizoni, huyo ni nyaraka ya taifa..
Nyara in English Government Trophies.Kama ndio hiyo picha anaonekana kama fisi... masikio, mkia na miguu ya nyuma na mgongo...
Utakuja wekwa matatizoni, huyo ni nyaraka ya taifa..
Huyo fisi sijui ndio wamemuibulia wapi?Mjini hapa maza, unga ushafika 3,000 vijana waishi vipi? π π π
Kajitahidi Sana kupata attention yetu[emoji851]Hata kama, ndio u screenshot Picha ya Mtoto Fisi [emoji849]
Tatizo la wabongo tunapenda sana kufuatilia mambo ya watu kuliko kutafuta maarifa. Tulifuata ubuyu tukapigwa na kitu kizito
Mpaka bulb zilizoungua zinawateja pia
Nisha mtupa huko Kawe Beach jirani na kwa Kikwete, sikwenda Coco BeachWapelekee Maliasiliπ