A
Anonymous
Guest
Kero yangu tulioitwa kwenye interview ya UTUMISHI siku ya Jumamosi tarehe 15-08-2026, iliyofanyika Chuo cha IFM Posta, Kada ya Artisan Electrical tumeishia kufukuzwa na kusimamishwa na kuzuiliwa kuingia kwenye Interview ya Written kwa madai kuwa hatujavaa kiofisi.
Yaani mtu kavaa kadeti na Form six bado anaonekana hajavaa kiofisi inasikitisha sana kwa vijana kusitisha ndoto zetu kwa watu wachache ambao hawana huruma na vijana wa taifa hili, ulakini ni mwingi sasa hivi kwenye interview za UTUMISHI tunaomba mamlaka husika zifatilie ikiwemo TAKUKURU.