KERO Nimevaa Kadeti na Form Six kwenye usaili, Maafisa wa UTUMISHI wamenifukuza kwamba sijavaa "proper"

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ni upumbavu kuamini heshima iko kwenye mavazi. Hayao mavazi wanayokataa kwenye usaili si ndio watu wanavaa ofisini kila siku
Ni upumbavu kweli.

Ila mimi naamini form six haina tatizo ila naenda kwenye interview ambapo huko wanaofanya interview wanaamini suruali na shati ndio nguo proper sasa mimi kama mtu ninaenda kuomba kazi nikivaa form six kwa kwenda kwenye interview na kuzuiliwa nani atakuwa mpuuzi mimi au wao.

Hiki kitu kila mwenye akili timamu anakijua ujinga ni mtoa mada anajua kabisa kitu anachofanya ni cha mashaka na ipo nji ambayo sio ya mashaka then anakuja kulalama hapa.
 
Kwani ungevaa shati ungetoka damu au unahisi hao waliovaa suruali na mashati hawana nguo za kinyamwezi.
 
Back
Top Bottom