A
Huna akili wewe. Kila mavazi na mahali pake. Polo shirt na khaki ni nguo za kwenda kuchezea golf ⛳️Kero yangu tulioitwa kwenye interview ya UTUMISHI siku ya Jumamosi tarehe 15-08-2026, iliyofanyika Chuo cha IFM Posta, Kada ya Artisan Electrical tumeishia kufukuzwa na kusimamishwa na kuzuiliwa kuingia kwenye Interview ya Written kwa madai kuwa hatujavaa kiofisi.
Yaani mtu kavaa kadeti na Form six bado anaonekana hajavaa kiofisi inasikitisha sana kwa vijana kusitisha ndoto zetu kwa watu wachache ambao hawana huruma na vijana wa taifa hili, ulakini ni mwingi sasa hivi kwenye interview za UTUMISHI tunaomba mamlaka husika zifatilie ikiwemo TAKUKURU.
Ungevaa nyanyapuza na carwash/kawoshi(kaptula kubwa na kizbao)naamini wangekukaribisha kwa kumbatio kubwa sana.Have a try, fella!Kero yangu tulioitwa kwenye interview ya UTUMISHI siku ya Jumamosi tarehe 15-08-2026, iliyofanyika Chuo cha IFM Posta, Kada ya Artisan Electrical tumeishia kufukuzwa na kusimamishwa na kuzuiliwa kuingia kwenye Interview ya Written kwa madai kuwa hatujavaa kiofisi.
Yaani mtu kavaa kadeti na Form six bado anaonekana hajavaa kiofisi inasikitisha sana kwa vijana kusitisha ndoto zetu kwa watu wachache ambao hawana huruma na vijana wa taifa hili, ulakini ni mwingi sasa hivi kwenye interview za UTUMISHI tunaomba mamlaka husika zifatilie ikiwemo TAKUKURU.
hii mbona ipo hata kwenye kufaulu mtihani? Mkipata alama zinalinga mpo wengi na nafasi za kwenda juu ni chache itabidi vigezo viwepo kuwachuja. Wataangalia hadi mwandiko ukoje, unaundaje herufu, usafi na uchafuMnapokuwa 6572 kwenye usaili wa nafasi 4 silaha inatumika kuwapunguza!
Ni upumbavu kuamini heshima iko kwenye mavazi. Hayao mavazi wanayokataa kwenye usaili si ndio watu wanavaa ofisini kila sikuUtaratibu wa mavazi unasemaje?