KERO Nimevaa Kadeti na Form Six kwenye usaili, Maafisa wa UTUMISHI wamenifukuza kwamba sijavaa "proper"

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuna dogo mwenzako alileta Uzi Kama huu wiki au wiki mbili tu zilizopita ungekua mpitaji pitaji humu ungeuona na usingerudia makosa yake na Wala usingeleta hii milio tena
 
View attachment 3656424

Ishi humu mdogo angu ...
Hujaonewa ni KANUNI na TARATIBU.

Kuna mtu hapa kazini anapend kusema ""If you cant stand the heat stay away from the kitchen""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Haya maJenzi mengine ya hovyo sana..... Na ana lalamika kaonewa ..... Hata hiyo code aliyovaa ya cadet na form six(t-shirt yeyote) inaruhusiwaga mara moja tu tena ijumaa.
 
Ni upumbavu kuamini heshima iko kwenye mavazi. Hayao mavazi wanayokataa kwenye usaili si ndio watu wanavaa ofisini kila siku
Hapa wewe ndio mpumbavu ..... Kanunue kondom halafu uvae palepale si ndio kazi yake ....
 
Ni upumbavu kuamini heshima iko kwenye mavazi. Hayao mavazi wanayokataa kwenye usaili si ndio watu wanavaa ofisini kila siku
Kaenda nje ya code . Yeye hiyo kazi ndio kwanza anaiomba na ndio umeenda kusailiwa siku ya kwanza tu umeenda nje ya code tukikupa kazi SI ndio utatuvalia vitu vya ajabu zaidi
 
Haya maJenzi mengine ya hovyo sana..... Na ana lalamika kaonewa ..... Hata hiyo code aliyovaa ya cadet na form six(t-shirt yeyote) inaruhusiwaga mara moja tu tena ijumaa.
Na mengine unakuta yamevaa Suruali mlegezo (chini ya mataco) unijiuliza Sasa huyuuu?😡
 
Nyie ndio wale watoto mafala mnaobishana mimi sivai suruali ya kitambaa..eeh endelea kutovaa
 
Tatizo hamjui kuvaa vizuri since mko chuo ,leo unaenda chuo unamuona mtu kavaa manguo oversize na yamechanika kama wale wadudu wa Arusha...Umepata ulichostahili ,ukiingia huko vyuoni kama umefika sehemu ya disco ,mnapenda sana kuleta ujuaji.
 
Haya tafuta shati la kitenge na suruali ya kitambaa haraka
 
Walipaswa wakupige kabisa sijui kwa nini walikuhurumia hivyo
 
Hakuwa na bakora jirani wawatandike akili zikae sawa?
 
Hakuwa na bakora jirani wawatandike akili zikae sawa?
 
Ni upumbavu kuamini heshima iko kwenye mavazi. Hayao mavazi wanayokataa kwenye usaili si ndio watu wanavaa ofisini kila siku
Mnawajaza ujinga vijana wanaishia kukosa kazi kwa ujuaji usio na maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…