I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 804
- 1,362
Wapi huko?Wakuu, hivi karibuni nilishambuliwa usiku na wezi kadhaa nisiowajua na kuniibia vitu vyote nilivyokuwa navyo. Hawa jamaa nawezaje kuwakomesha? maana wamenirudisha nyuma kiuchumi.
NB: Kuwakomesha kwa njia yoyote ile.
Wakuu, hivi karibuni nilishambuliwa usiku na wezi kadhaa nisiowajua na kuniibia vitu vyote nilivyokuwa navyo. Hawa jamaa nawezaje kuwakomesha? maana wamenirudisha nyuma kiuchumi.
NB: Kuwakomesha kwa njia yoyote ile.
Asante sanaPole sana
Asante sana Mkuu. Nimeupokea ushauri huu mzuri maana hata mimi hadi sasa najuta ni kwanini usiku ule nisingepanda bodaboda.Pole mkuu. Kubali hasara tu, kama huwajui epuka kupoteza hela nyingi zaidi kuwatafutia plus muda.
Next time ukichelewa kurudi, panda hata bodaboda ili kuongeza usalama.
Asante mkuuPole sana mkuu
Nawapelekeaje sasa hao nyuki?Wapelekee nyuki wawaume mpaka watakaporudisha.
Hi!Pole mkuu. Kubali hasara tu, kama huwajui epuka kupoteza hela nyingi zaidi kuwatafutia plus muda.
Next time ukichelewa kurudi, panda hata bodaboda ili kuongeza usalama.
Kuna mafundi wa kazi hiyo! Pengine watajitokeza humu lakini usiwalipe mpaka hapo watakapomaliza kazı!Nawapelekeaje sasa hao nyuki?