Nimevamiwa na kuibiwa mali zangu na wezi, nawezaje kuwakomesha?

Nimevamiwa na kuibiwa mali zangu na wezi, nawezaje kuwakomesha?

Asante. Sure, nafikiria kufanya taratibu za kumiliki mguu wa kuku sasa.
Kama uko Dsm, ongea na mjeda mmoja mfanye maigizo .

Itakuwa hivi, akija mtaani kwako we jikute kibaka mpige kabali la kishkaji unamuacha.

Ikiwezekana lkn mpake na damu hata ya kuku kwenye nguo zake.

Yeye akienda kikosin atachukua wana kadhaa wanakuja kusafisha huo mtaa.
 
mzee umewamark sura zao? kakodi wajeda kadhaa waje wasafishe huo mtaa halaf mnabonda huku unawaambia wakurudishie ukishindwa hii kawaroge
Tatizo sikuwamark sura, naona hyo option ya kuchukua wajeda naweza kupoteza rasilimali nyingi ikiwemo fedha na muda bila kupata suluhu.
 
Wakuu, hivi karibuni nilishambuliwa usiku na wezi kadhaa nisiowajua na kuniibia vitu vyote nilivyokuwa navyo. Hawa jamaa nawezaje kuwakomesha? maana wamenirudisha nyuma kiuchumi.

NB: Kuwakomesha kwa njia yoyote ile.
Wasubiri wakija tena uwaue wapumbavu hawa.
 
Kuna mafundi wa kazi hiyo! Pengine watajitokeza humu lakini usiwalipe mpaka hapo watakapomaliza kazı!
Sawa nashukuru. Kama pia kuna utakayekuwa unamjua unaweza ukanielekeza.
 
Kama uko Dsm, ongea na mjeda mmoja mfanye maigizo .

Itakuwa hivi, akija mtaani kwako we jikute kibaka mpige kabali la kishkaji unamuacha.

Ikiwezekana lkn mpake na damu hata ya kuku kwenye nguo zake.

Yeye akienda kikosin atachukua wana kadhaa wanakuja kusafisha huo mtaa.
Hhmm.. Ushauri mzuri, nimeupokea chief Nashukuru
 
Wakuu, hivi karibuni nilishambuliwa usiku na wezi kadhaa nisiowajua na kuniibia vitu vyote nilivyokuwa navyo. Hawa jamaa nawezaje kuwakomesha? maana wamenirudisha nyuma kiuchumi.

NB: Kuwakomesha kwa njia yoyote ile.
wakurudishaje nyuma! ulitembea na uchumi wako wote...? au ni nyuma ipi hiyo.

anyway naona ufumbuzi unaoutafuta ni namna ya kuroga tu, hakuna jingine.
 
Wewe kabila gani? Kama ni yale ya kaskazini Vunja chungu,. Nasikia hiyo habaki mtu.
Chungu unaambiwa ndani ya mwaka kinaweza kisivunjwe hata kimoja, hii kitu ni mbaya wazee wa Mila hua hawavunji chungu ovyo ovyo... Mpaka wakubali ujue kweli ni tukio kubwa na kionevu hasa
 
Wakuu, hivi karibuni nilishambuliwa usiku na wezi kadhaa nisiowajua na kuniibia vitu vyote nilivyokuwa navyo. Hawa jamaa nawezaje kuwakomesha? maana wamenirudisha nyuma kiuchumi.

NB: Kuwakomesha kwa njia yoyote ile.
Najua unataka watu wakufurahishe kwa kukuambia ''nenda kwa mganga'' ili tu kitu ambacho umekwisha kiwaza kiungwe mkono. Warning: Utapote fedha na mali zaidi.
 
Back
Top Bottom