macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kungekuwa na mafundi basi tungekuwa tunaona matokeo. Mbona mafundi wa magari wapo na kila siku tunaona magari mabovu yakitengemaa?Kuna mafundi wa kazi hiyo! Pengine watajitokeza humu lakini usiwalipe mpaka hapo watakapomaliza kazı!
Ndiyo Mkuu, kuroga mpaka wasaliti amri.wakurudishaje nyuma! ulitembea na uchumi wako wote...? au ni nyuma ipi hiyo.
anyway naona ufumbuzi unaoutafuta ni namna ya kuroga tu, hakuna jingine.
mguu wa kuku rahisi kama ukinunua kwa mtu kisha unaenda kubadil tu hati za umilikiPoapoa Mkuu, nashukuru. Ngoja nimcheki
asante kwa ushauri, nimeupokeaNajua unataka watu wakufurahishe kwa kukuambia ''nenda kwa mganga'' ili tu kitu ambacho umekwisha kiwaza kiungwe mkono. Warning: Utapote fedha na mali zaidi.
kazi kwakoLabda hyo option ya pili ya kuwaloga.
Wamejiibia wenyewe kivipi?Waliokuibia wamejiibia wao wenyewe , hivyo usiende kwa mganga bali mshukuru MUNGU kwa kila kitu.
Bado sijaelewa vizuri mkuu, kwamba ningeiacha smartphone moja nyumbani ndyo ingekuwaje au ingesaidia nini?Ungeacha simu yeyote smart ya bei rahisi nyumbani, tena sebuleni uwe unaiweka kwenye charger.
Kwa Tanzania utaweza kumpata mmojawapo.
Ungeweza kuwatrace kirahisi. Mradi ujue IMEI #.Bado sijaelewa vizuri mkuu, kwamba ningeiacha smartphone moja nyumbani ndyo ingekuwaje au ingesaidia nini?
Ni jambo hatari sanaWewe kabila gani? Kama ni yale ya kaskazini Vunja chungu,. Nasikia hiyo habaki mtu.