Si lazima u Format HDD unapopiga window,mara nyingi sana huwa inatokea window ime corrupt
inagoma kuwaka kabisa,na HDD haina partition,ninachofanya ni kupiga window upya na ikifika
sehemu ya partition si format yani napiga window juu ya ile window nyingine,itapiga vizuri kbsa
ikimaliza ku instal,naenda yakuta mafile yangu kwenye local disk c yakiwa na jina
"windows.old"
basi naenda yachukua mafile yangu niliyoyataka,nikimaliza Narudia kupiga window vizuri sasa
ikifika sehemu ya partition na format sasa HDD kisha window inaingia vizuri kabisa. SO kwa CASE ya
BILGERT namshauri apige window (only Latest window 10) halafu afanye kama ninavyofanya mimi
akifika sehemu ya partition asiformat apge window juu ya window,Ikimaliza aende local disk C file la "windows.old"
akalifungue atakutana na mafile yake na kama kuna virus humo window 10 iko na Powerfull Built in antivirus
itawa detect na kuwaondoa bila tatizo lolote lile,naamini kwa njia hii ataokoa data zake na kuwa free kbsa
na next time tumia window 10 tu for your own safety,na hakikisha una update muda wote ile antivirus yake.