Nimevamiwa na NUSM Virus

Nimevamiwa na NUSM Virus

BILGERT

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
6,534
Reaction score
11,011
Naombeni msaada wenu wakuu,namna ya kuondoa hawa virus.Ni takribani wiki moja sasa tangu nivamiwe na hawa viruse,niliwapata baada ya kuingia website kadhaa.

Wamefunga files zangu zote za kwenye computer(documents, videos na movie's).

Cc CHIEF MKWAWA
 
reinstall windows,weka kaspersky au kama hauna hiyo weka Baidu
Sasa akireinstall windows na hayo mafile yaliyojifunga vipi?

Mleta uzi najaribu kukupa idea sijawa karibu na mashine kitambo so hata hicho kirusi ndiyo nakisikia kwako. Pia mimi ni mtumiaji wa free software mno, nivumilie.

Hizo files zilizojifunga zicopy kisha ziweke kwenye mashine nyingine ambayo utakua umeinstall Smadav kisha run Smadav iziscan hizo files. Au kama mashine inakuruhusu kuinstall kitu kipya install smadav na scan mashine.

Notice kwamba Smadav haitamaliza virus ila ipo vizuri katika kufungua files zenye virusi bila kuzidelete. Ukifanikiwa kuzifungua .

Install Microsoft Security Essentials, iupdate, irun acha iscan mashine.

Hizo ni options zangu kwa hizi free softwares.
 
unaelewa kwamba virus kwa asilimia kubwa virus wanaji- attach kwenye window files ili isiwe rahis kupatikana unaposcan?
NB: weka mchango kwenye mada Mkuu acha ligi
 
Siyo ligi.

Mimi nimekuambia ukipiga windows itafuta kila kitu unless files zisiwe kwenye Local Disk C. Sasa ana mambo mawili files kufungiwa na virusi na kirusi chenyewe.

Mkalimani umetoa solution ila ni solution ambayo haimrudishii files na kama virusi vimehama kutoka Local Disk means akipiga Windows bado haitasaidia sana kwakua reinfection itatokea.

Mimi nimeona itumike smadav kusave files na MSE kutreat mashine nzima. Sijaja kufanya ligi kama umenichukulia hivyo samahani.

Am out.
 
brother,ukipiga window unaformat hard disk zote?
 
Naombeni msaada wenu wakuu,namna ya kuondoa hawa virus.Ni takribani wiki moja sasa tangu nivamiwe na hawa viruse,niliwapata baada ya kuingia website kadhaa.

Wamefunga files zangu zote za kwenye computer(documents, videos na movie's).

Cc CHIEF MKWAWA
Yani ulivoandika nimevamiwa na virus nikajua sijui umepatwa na nini, kumbe ni computer
 
brother,ukipiga window unaformat hard disk zote?
No and yes.

Kama una partition no.

Kama hauna yes.

Ndiyo maana nimesema kama kirusi kitakua kimehama kutoka Local disk C basi kupiga windowa siyo solution nzuri sana kwakua kirusi kitakua bado kipo kwenye partitions zingine.
 
virus wakiwa kwenye disk nyngne tofauti na local disk c ni simple sana kuwaondoa unless wawe wameingia kwenye window ndo hawatoki kiwepesi
True.

files zilizofungwa na kirusi tunazifanyaje? Notice kwamba anti virus nyingi zinafuta file lenye kirusi badala ya kuscan na kuliacha.
 
No and yes.

Kama una partition no.

Kama hauna yes.

Ndiyo maana nimesema kama kirusi kitakua kimehama kutoka Local disk C basi kupiga windowa siyo solution nzuri sana kwakua kirusi kitakua bado kipo kwenye partitions zingine.
sahihi
 
Naombeni msaada wenu wakuu,namna ya kuondoa hawa virus.Ni takribani wiki moja sasa tangu nivamiwe na hawa viruse,niliwapata baada ya kuingia website kadhaa.

Wamefunga files zangu zote za kwenye computer(documents, videos na movie's).

Cc CHIEF MKWAWA
Tupa pc mkuu hahaha 🤣🤣🤣/hapana natania usije nimeza bure!.
 
No and yes.

Kama una partition no.

Kama hauna yes.

Ndiyo maana nimesema kama kirusi kitakua kimehama kutoka Local disk C basi kupiga windowa siyo solution nzuri sana kwakua kirusi kitakua bado kipo kwenye partitions zingine.
Si lazima u Format HDD unapopiga window,mara nyingi sana huwa inatokea window ime corrupt

inagoma kuwaka kabisa,na HDD haina partition,ninachofanya ni kupiga window upya na ikifika

sehemu ya partition si format yani napiga window juu ya ile window nyingine,itapiga vizuri kbsa

ikimaliza ku instal,naenda yakuta mafile yangu kwenye local disk c yakiwa na jina "windows.old"

basi naenda yachukua mafile yangu niliyoyataka,nikimaliza Narudia kupiga window vizuri sasa

ikifika sehemu ya partition na format sasa HDD kisha window inaingia vizuri kabisa. SO kwa CASE ya

BILGERT namshauri apige window (only Latest window 10) halafu afanye kama ninavyofanya mimi

akifika sehemu ya partition asiformat apge window juu ya window,Ikimaliza aende local disk C file la "windows.old"

akalifungue atakutana na mafile yake na kama kuna virus humo window 10 iko na Powerfull Built in antivirus

itawa detect na kuwaondoa bila tatizo lolote lile,naamini kwa njia hii ataokoa data zake na kuwa free kbsa

na next time tumia window 10 tu for your own safety,na hakikisha una update muda wote ile antivirus yake.
 
Naombeni msaada wenu wakuu,namna ya kuondoa hawa virus.Ni takribani wiki moja sasa tangu nivamiwe na hawa viruse,niliwapata baada ya kuingia website kadhaa.

Wamefunga files zangu zote za kwenye computer(documents, videos na movie's).

Cc CHIEF MKWAWA
Kama umefanya HDD Partition piga windows upya kwa C pekee
 
nusm ni ransomware, files zimefungwa izo mpaka ulipie ndio zifunguliwe

sahau izo files, clean install windows kwa C drive, kisha scan drives zilizobaki kuondoa traces za virus waliobaki
 
Shukrani sana Mkuu.
 
Hiyo kupandikizia windows ni kitu nilikua nafanya wakati najifunza kuinstall windows.

Kwa sasa hivi siwezi kufanya hivyo.

Now kirusi kipo kwenye Local Disk C ukaamua kuinstall windows kwa kuipandishia kisha akimaliza aingie kwenye Windows old si atakua anakirudisha upya kirusi?
 
nusm ni ransomware, files zimefungwa izo mpaka ulipie ndio zifunguliwe

sahau izo files, clean install windows kwa C drive, kisha scan drives zilizobaki kuondoa traces za virus waliobaki
Hakuna anti virus inayoweza kuclean ransomware?

Kama njia ya kuclear files ikifeli inabidi afuate hii option unayosema
 
Naombeni msaada wenu wakuu,namna ya kuondoa hawa virus.Ni takribani wiki moja sasa tangu nivamiwe na hawa viruse,niliwapata baada ya kuingia website kadhaa.

Wamefunga files zangu zote za kwenye computer(documents, videos na movie's).

Cc CHIEF MKWAWA
Pole sana.mimi wiki tatu zilizopita Mdogo angu akiwa anadownload tools za kurepear Iphone ,alidownload Nsum Malware.so files zote now zipo locked na Nsum.Nimeangalia kwenye net zipo sulutions za kumwondoa kwenye infected files.Nilichofaanya nimeiondoa hard disk iliyokuwa infected na kuweka mpya. Nategemea wiki ya kwanza July kuifanyia kazi hii infected hdd kwani nna very important files ambazo siwezi kuzipoteza😭.Nimeomba pia msaada Kaspersky Head office,Wamekubali nisaidia so ukiweza vumilia for these few weeks you will get back your files.Achana na hao wanaokimbilia kuformat HDD,cause aitosaidia kukurudishia files zako.Ukiweza fanya kama mimi ,kwa muda weka hdd nyingine then ukirecover file zako utairejesha pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom