Aisee, ni kama msaada wa Tazara flyover toka Japan na SUMITOMO ya Japan ikala tenda, pesa yote ikarudi kwao..Misaada yote huwa ina masharti yake.
Unakuta zaidi ya nusu ya pesa ya msaada inarudi ilipotoka
Maana ukipewa pesa utalazimishwaa kinunua bidhaa zote kutoka kwa aliyetoa. Wakandarasi wa miradi lazima watoke kwao. Mwisho wa siku unakuja kulipa deni na riba juu.
Mfano unakumbuka mradi wa SGR, exim bank walikataa kutoa mkopo baada ya wakandarasi kutoka china kipigwa chini
Hakina kitu cha bure. Wale wanafanya kutengeneza ajira za watu wao kupitia misaada/mikopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ilitoa msaada wa chakula kwa nchi fulani hapa afrika ilihali nchini kwake kuna watanzania hawana chakula!! Je huo msaada ulikua wa maana gani wakati wananchi wake hawana chakula?Nimekuwa najiuliza sana hili swali bila majibu ya uhakika, hivi haya mataifa yanayojiita donor countries, huwa wanatupa hii misaada kwa misingi na madhumuni yapi hasa?
Na kwanini wanapotupa misaada huwa tunasainishana mikataba ya msaada? hivi huo ni msaada au tunawauzia kitu hadi tusainishane? Whats happening?
Hiyo pesa yote inarudi kupitia cargo zao wanazopitishia bandari ya Dar es salaam, ile ilikuwa kama hongo tu waendelee kututajirisha kwa kupitishia mizigi Dar..Tanzania ilitoa msaada wa chakula kwa nchi fulani hapa afrika ilihali nchini kwake kuna watanzania hawana chakula!! Je huo msaada ulikua wa maana gani wakati wananchi wake hawana chakula?
Sent using Jamii Forums mobile app
Misaada ni kama chambo. Utavutwa na hiyo misaada lakini baadae utaliwa kwa njia moja au nyingine. Alituasa Mwalimu "mikopo na misaada inahatarisha Uhuru wetu, utashindwa kutoa maoni yako kwa kuogopa kunyimwa hiyo misaada na mikopo."Unaweza kumlisha mchepuko chips kuku huku wanao na mkeo wanalala njaa/kula ugali chumvi..kuna kitu utakuwa umekilenga kwa mchepuko na sio kwamba unampa fervor pekee[emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni walipa kodi wa nchi inayokupa msaada. Huwa hawataki pesa ziende kwa taifa linalokinzana na sera zao.Unapewa hela ya kuinua sekta ya elimu, kwa mfano, hivyo lazima mkubaliane huo msaada utakuwa na manufaa gani kwenye elimu na jinsi utakavyowafikia walengwa.
Hapo kwenye mstari wa mwisho...Kwahiyo sisi Tz ni kama mchepuko anaelishwa burger na pizza huku nyumbani kwao wanashindia ugali tembele, ila baadae mchepuko kuna cha moto anakipata.., sivyo?
Nasikia JK aliwapa mabeberu...Hapo kwenye mstari wa mwisho...
Jiulize..
Gesi yetu ya mtwara imefikia wapi?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ya ushoga?Swali zuri. Mi huwa najiuliza hivi kama sie tungekuwa wao na wao ndo wawe sie, je tungewasaidia kweli?hata kama ni kwa masharti magumu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unawezaje kumpa chakula mtu,na wewe ukabaki na njaa.Kutoa msaada kwa mwingine haimaanishi wewe hauna uhitaji wa huo msaada.
Kwahiyo sisi Tz ni kama mchepuko anaelishwa burger na pizza huku nyumbani kwao wanashindia ugali tembele, ila baadae mchepuko kuna cha moto anakipata.., sivyo?
Ndio hapo sasa...Wakati wa kudaiwa, hata mtoto mdogo wa kike anapewa MME.
Je, ndiyo huo utaratibu Watanzania tumeukubali au tunalazimishwa kukubali?
Daah Mungu anaona mikataba inayoumiza walio wa chini yaani Africa!Urudishe na faida, siyo kile nikichokupa tu.
Haya makato ya miamala ya simu nasikia ni kwa ajili ya kulipa madeni tu, hamna kitakachofanyika cha zaidiDaah Mungu anaona mikataba inayoumiza walio wa chini yaani Africa!