Nimevunja ndoa ya rafiki yangu

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Nina rafiki ambae nilisoma nae primary mpaka secondary miaka ya nyuma, Nilibahatika kuonana nae town miaka 2 ilopita, akani introduce kwa mkewe.

Jamaa alikua anapenda kuja kwangu, hua tunaenda kuangalia mpira, na mara nyingine kwa mambo ya ki business. Mara nyingi huwa namwambia arudi home mapema ili shemeji asiudhike. Jamaa alikua akilalamika kua mke wake ana wivu sana na mkorofi. Nilimjibu kua huyo ni mke mzuri na anampenda ndo maana yuko hivyo na nilimu heshimu sana shemeji.

Siku 1 mkewe alinipigia simu akinishutumu kua mimi namuharibu mumewe kwa kumpeleka kwa wanawake na toka amejuana na mimi amebadilika na akanitukana sana.

Nikaongea na jamaa kuwaa tusiwe tunawasiliana na mara nyingi, akinifata nilijaribu sana kumkwepa. Pamoja na jitihada zangu zote, mkewe kila siku alikua akinitumia meseji za kunitukana, nikaona isiwe taabu kwa kuwa jamaa alikua ni mtu wa kunisikiliza sana nikampeleka sehemu kumkutanisha na mtoto wa kitanga.

Jamaa baada ya kupewa mambo kanogewa, hivi sasa kampangishia nyumba Mikocheni na ana process harusi. Nikamshauri aachane na huyo mke mkorofi na kweli amempa talaka na kumrudisha kwao, na huko wana maisha magumu anapata shida namuonea huruma lakini ndo hivyo amejitakia

Fundisho kwa walioolewa:

Msiwe mnawafikiria vibaya marafiki wa waume zenu. Waheshimuni.
 
Sema fresh tuuuuuuu,mikelele kibaooooo mtu huna proof mambo mengine MADEMU wanazogoa aaaaaaaaargh

NB:Sio kila mtu anapenda mikeleleeeeeeeeeeeeeeee
 
My comrade Boflo niaje aisee nimekumiss sana kwenye jukwa letu.
 
Last edited by a moderator:
Kwani Boflo jina lako lina maanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
na wewe uliesababisha waachane umepata faida gani kuvuruga ndoa ya watu? hata kama alikuwa mkorofi we 3rd part hayakuhusu ungefanya yako
Kila siku natumiwa msg za kutukanwa sina amani...kwa jambo
ambalo si kweli....sasa hivi situkanwi tena.... huko kijijini
kwao hakuna hata network
 
Asara yako, kumkuadia huyo mwanamke Mwenzio ndio tukuone star au? Hasbiallah ulitakiwa uwapatanishe sio kuwatenganisha, na huyo rafiki yako nae pia nna walakin nae mwanamme mzima Hana maamuzi ya kiume? Na wewe eti ananisikiliza Sana. Unampa nini mpaka akakusikiliza?
 
We mjamaa nimegundua unatafuta tu attention!

Pumbav zako bora ungeumbwa choo ili wadau wakukojolee!!!!!!

Namuonea huruma sana aliekuzaa.

Jf unatakiwa kuwa na moyo mpana sana, la sivyo utajuta kuanzisha thread,

hili tosi ni sheeeenda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…