Nimevunja ndoa ya rafiki yangu

Nimevunja ndoa ya rafiki yangu

Nina rafiki ambae nilisoma nae primary mpaka secondary miaka ya nyuma, Nilibahatika kuonana nae town miaka 2 ilopita, akani introduce kwa mkewe.

Jamaa alikua anapenda kuja kwangu, hua tunaenda kuangalia mpira, na mara nyingine kwa mambo ya ki business. Mara nyingi huwa namwambia arudi home mapema ili shemeji asiudhike. Jamaa alikua akilalamika kua mke wake ana wivu sana na mkorofi. Nilimjibu kua huyo ni mke mzuri na anampenda ndo maana yuko hivyo na nilimu heshimu sana shemeji.

Siku 1 mkewe alinipigia simu akinishutumu kua mimi namuharibu mumewe kwa kumpeleka kwa wanawake na toka amejuana na mimi amebadilika na akanitukana sana.

Nikaongea na jamaa kuwaa tusiwe tunawasiliana na mara nyingi, akinifata nilijaribu sana kumkwepa. Pamoja na jitihada zangu zote, mkewe kila siku alikua akinitumia meseji za kunitukana, nikaona isiwe taabu kwa kuwa jamaa alikua ni mtu wa kunisikiliza sana nikampeleka sehemu kumkutanisha na mtoto wa kitanga.

Jamaa baada ya kupewa mambo kanogewa, hivi sasa kampangishia nyumba Mikocheni na ana process harusi. Nikamshauri aachane na huyo mke mkorofi na kweli amempa talaka na kumrudisha kwao, na huko wana maisha magumu anapata shida namuonea huruma lakini ndo hivyo amejitakia

Fundisho kwa walioolewa:

Msiwe mnawafikiria vibaya marafiki wa waume zenu. Waheshimuni.

aisee,sijapata kuona shetani la aina yako,nina wasiwasi tu na huo uhusiano uliokuwa nao na mwanamme mwenzako,pengine mmekuwa na mchezo mchafu ndo maana unakuja hapa jukwaani kujishebedua ka jike kwa kuvunja ndoa ya huyo mtu wako.kafilie mbali
 
Kweli wewe ni Boflo hamna kitu kichwani,subiri ya kwako nae atakuacha na hautaenda kijijini bali utakuwa kichaa,malipo ni hapa hapa duniani mbinguni ni raha tu
 
Huyo mwanamke unayemwita mkorofi naamini alikuwa anakushutumu akiwa na uhakika kuwa unamchukulia mume wake na sio kuwa ulimfundisha mume wake tabia mbaya.. kwa hiyo umeona mwanamke wa watu anafaidi sanaa?? kwa hiyo siku hizi ni fully kujiachia msheeee........n..zi mku....bwa wewe!!!! wamelaaniwa watu type yako.
 
mnamshambulia Boflo kwa kosa gani.? Nikimshauli baba yako amuache mama yako atakubali.? au wewe umuache mume/mke wako.! Kila mtu akili mukichwa bana.
 
Hapo hakuna cha mtoto wa kitanga wala wa kiny....ok..o,,, ni yeye mwenyewe huyu kajigeuza mtoto wa kitanga.
 
Umepata faida gani baada ya kuwaachanisha?? Nina was was na wewe kuna kipindi ulitoa post inahus mashoga nina waswas wewe ulikua ukimla huyo jamaa
Mafikizolo hebu weka link.ya ile post yake huyu inasema if god hates gay why are we so handsome kama sikosei

Kweli kabisa mwanaume kamili anasimamisha kila asubuhi hawezi fanya haya,atakuwa alikuwa anamuonea wivu huyo mwanamke.
 
What God has brought together let no man lay asunder. You have committed a great sin my brother.

Na amesahau kwamba".... Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake! Ingemfaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake, akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmojawapo wa wadogo hawa" Luka 17:1-2
 
Boflo umekomeshea kwa kuharibu kabisa
 
Last edited by a moderator:
wewe pipa uliyemshauri mfuniko halafu kuna njia ulizotumia kumshawishi

kama ni mama yako aliyekulea kala hasara
 
aiseehh..!
Uliadimika sana hapa.

Ila habari yako ya uongo.
 
Ungebadili tu namba ya simu.
Nimetukanwa sana dadangu kwa kosa ambalo
siko nalo.... Na nilikua nikimsaidia sana huyu rafiki...
pamoja na yote kila siku naporomoshewa mitusi....jamani sasa nifanye nini?
 
Teh teh teh teh teh teh
Ungekuwa karibu ningekushika japo kalio ili kutuliza hasira....umetuzalilisha sana wanaume wenzio
Na hiyo tabia ya kukuwadia waume za watu itakutokea puani kama sio ma.ta.koni
Mtoto wa kiume unashindwa hata kutumia kichwa cha chini kufikiria kama cha juu kimeisha chaji.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kumbe hata wanaume wanavunja ndoa za wanaume wenzao lol,nilikua najua kua -+ ndo vya zalisha umeme kumbe hata -- looo kwelii!
 
Mmmmmh hujisomi mtoa Mada. Wacha jamaa ateswe huko ndipo atakurudia kwa mapanga
 
Yaaani mamayetu angesubiri sekunde30 akuzae angekuffana kifafa cha mimba
Mshukuru sanakwa kuwahi kukuleta
 
Back
Top Bottom