FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Nikiangalia vizuri huyu mwanamke hakuwa mkorofi bali alikuwa anampenda mme wake
Hivi unadhani kama mtu hakupendi atakutafuta kwa nini ajisumbue akili ?
we hata ukirudi asubuhi wala hakuulizi
sana sana na yeye atatafuta mchepuko ili mwende droo
so huyo mwanamama alikuwa anamlinda mmewe na kwa vile mmewe alikuwa mtembezi sometimez labda mkewe alijua yuko kwako ,kumbe yeye mtaa wa saba