Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Yani una tabia mbaya halafu unakuja kujitangaza.Sasa wewe umepata faida gani walivyoachana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimempa deal nyingi za business....nilimuuzia gari kwaAsara yako, kumkuadia huyo mwanamke Mwenzio ndio tukuone star au? Hasbiallah ulitakiwa uwapatanishe sio kuwatenganisha, na huyo rafiki yako nae pia nna walakin nae mwanamme mzima Hana maamuzi ya kiume? Na wewe eti ananisikiliza Sana. Unampa nini mpaka akakusikiliza?
Nimetukanwa sana dadangu kwa kosa ambaloUnajisifu kabisa....mmh ....ila sna comment mungu atakulipia sawasawa na matendo yako kama ulitenda haki ok..kama soo ok....yaan sikuwahi fikiri kama naweza kuta mtu timamu anajisifia hivi kweli dunia hii kuna watu na viatu.sasa umemkomoa madai yako looo
Nina rafiki ambae nilisoma nae primary mpaka secondary miaka ya nyuma, Nilibahatika kuonana nae town miaka 2 ilopita, akani introduce kwa mkewe.
Jamaa alikua anapenda kuja kwangu, hua tunaenda kuangalia mpira, na mara nyingine kwa mambo ya ki business. Mara nyingi huwa namwambia arudi home mapema ili shemeji asiudhike. Jamaa alikua akilalamika kua mke wake ana wivu sana na mkorofi. Nilimjibu kua huyo ni mke mzuri na anampenda ndo maana yuko hivyo na nilimu heshimu sana shemeji.
Siku 1 mkewe alinipigia simu akinishutumu kua mimi namuharibu mumewe kwa kumpeleka kwa wanawake na toka amejuana na mimi amebadilika na akanitukana sana.
Nikaongea na jamaa kuwaa tusiwe tunawasiliana na mara nyingi, akinifata nilijaribu sana kumkwepa. Pamoja na jitihada zangu zote, mkewe kila siku alikua akinitumia meseji za kunitukana, nikaona isiwe taabu kwa kuwa jamaa alikua ni mtu wa kunisikiliza sana nikampeleka sehemu kumkutanisha na mtoto wa kitanga.
Jamaa baada ya kupewa mambo kanogewa, hivi sasa kampangishia nyumba Mikocheni na ana process harusi. Nikamshauri aachane na huyo mke mkorofi na kweli amempa talaka na kumrudisha kwao, na huko wana maisha magumu anapata shida namuonea huruma lakini ndo hivyo amejitakia
Fundisho kwa walioolewa:
Msiwe mnawafikiria vibaya marafiki wa waume zenu. Waheshimuni.