Nimevunja ndoa ya rafiki yangu

Nimevunja ndoa ya rafiki yangu

Yani una tabia mbaya halafu unakuja kujitangaza.Sasa wewe umepata faida gani walivyoachana?
 
Umepata faida gani baada ya kuwaachanisha?? Nina was was na wewe kuna kipindi ulitoa post inahus mashoga nina waswas wewe ulikua ukimla huyo jamaa
Mafikizolo hebu weka link.ya ile post yake huyu inasema if god hates gay why are we so handsome kama sikosei
 
Last edited by a moderator:
Yaani kwa kufanya hivyo ukajiona mshindi mwenyewe. Kwahiyo faida uliyopata ni kutotukanwa tena? Huyo ulimshauri na kumkuwadia mwenyewe ni tatizo. Walipokutana mpaka wakaamua kuoana ulikuepo, walikushirikisha? Pamoja na matatizo ya huyo mwanamke ila mumewe ni mtu asiye na msimamo na asiyejua nini anataka. Kwa kifupi ndoa ni taasisi yenye dhoruba kali sasa kama upepo mkali kidogo tu ukivuma mwanaume unayumba tena unakabidhi chombo kwa 3rd part akiendeshe utaoa hata mara kumi na usiishi kwa amani. Nachukia wanaume wasio na misimamo !
 
Asara yako, kumkuadia huyo mwanamke Mwenzio ndio tukuone star au? Hasbiallah ulitakiwa uwapatanishe sio kuwatenganisha, na huyo rafiki yako nae pia nna walakin nae mwanamme mzima Hana maamuzi ya kiume? Na wewe eti ananisikiliza Sana. Unampa nini mpaka akakusikiliza?
Nimempa deal nyingi za business....nilimuuzia gari kwa
mkopo ambayo alikua akitembelea na huyo mke mkorofi....
na mpaka leo nimelipwa 50% tu...tatizo lenu wanawake
hamjiamini....kila mara mnafikiri mambo ambayo siyo kbs
 
Ngoja mkeo atafutiwe njemba ndio utajua kama ulilofanya ni sawa au la.
Ilikuwa ni issue ya kuondoka kwa rafiki yako basi. Sitashangaa kama utataka kumega huyo dada wa Tanga kulipwa fadhila
 
Unajisifu kabisa....mmh ....ila sna comment mungu atakulipia sawasawa na matendo yako kama ulitenda haki ok..kama soo ok....yaan sikuwahi fikiri kama naweza kuta mtu timamu anajisifia hivi kweli dunia hii kuna watu na viatu.sasa umemkomoa madai yako looo
 
Malipo ni hapahapa..jiandae na ww....pia utujurishe....kumbuka maumivu ya mwenye haki ni pigo kwa????endelea kufurahia kwa ulilofanya
 
Unajisifu kabisa....mmh ....ila sna comment mungu atakulipia sawasawa na matendo yako kama ulitenda haki ok..kama soo ok....yaan sikuwahi fikiri kama naweza kuta mtu timamu anajisifia hivi kweli dunia hii kuna watu na viatu.sasa umemkomoa madai yako looo
Nimetukanwa sana dadangu kwa kosa ambalo
siko nalo.... Na nilikua nikimsaidia sana huyu rafiki...
pamoja na yote kila siku naporomoshewa mitusi....jamani sasa nifanye nini?
 
Hongera sana umefanya kilichoufurahisha moyo wako. Maisha yenyewe hayajirudii, ishi kwa furaha yako sio uumie ili kufurahisha wengine.
 
Kwa hiyo umefurahi sana baada ya kuona ndoa ya rafiki yako kutengana na mke wake. Umefurahi sana baada ya mke wake kurudi kijijini na kuishi maisha ya shida!
Mharibifu sana wewe Boflo
 
Last edited by a moderator:
Nina rafiki ambae nilisoma nae primary mpaka secondary miaka ya nyuma, Nilibahatika kuonana nae town miaka 2 ilopita, akani introduce kwa mkewe.

Jamaa alikua anapenda kuja kwangu, hua tunaenda kuangalia mpira, na mara nyingine kwa mambo ya ki business. Mara nyingi huwa namwambia arudi home mapema ili shemeji asiudhike. Jamaa alikua akilalamika kua mke wake ana wivu sana na mkorofi. Nilimjibu kua huyo ni mke mzuri na anampenda ndo maana yuko hivyo na nilimu heshimu sana shemeji.

Siku 1 mkewe alinipigia simu akinishutumu kua mimi namuharibu mumewe kwa kumpeleka kwa wanawake na toka amejuana na mimi amebadilika na akanitukana sana.

Nikaongea na jamaa kuwaa tusiwe tunawasiliana na mara nyingi, akinifata nilijaribu sana kumkwepa. Pamoja na jitihada zangu zote, mkewe kila siku alikua akinitumia meseji za kunitukana, nikaona isiwe taabu kwa kuwa jamaa alikua ni mtu wa kunisikiliza sana nikampeleka sehemu kumkutanisha na mtoto wa kitanga.

Jamaa baada ya kupewa mambo kanogewa, hivi sasa kampangishia nyumba Mikocheni na ana process harusi. Nikamshauri aachane na huyo mke mkorofi na kweli amempa talaka na kumrudisha kwao, na huko wana maisha magumu anapata shida namuonea huruma lakini ndo hivyo amejitakia

Fundisho kwa walioolewa:

Msiwe mnawafikiria vibaya marafiki wa waume zenu. Waheshimuni.

Anti Boflo Kuwadi,,Huna hata stamina wala hadhi kuwashauri walioolewa, unajututumua kushauri?????
 
Kuna watu mna roho mbaya sana.
Cdhani kama ni kosa mke wangu akinilalamikia kwa sababu nachelewa kurudi nyumbani usiku kwa sababu hata yeye akichelewa lazima nitakasirika.
Ndugu yangu unamuhitaji sana YESU abadilishe maisha yako yaani umevunja ndoa ya mtu halafu unajisifia.
Una moyo mbaya sana na haufai kuwa rafiki natamani siku moja mkeo achukuliwe na mwanaume mwingine ili uone uchungu wake.
 
Tushajua kumbe ni kuwadi na unasogeza siku hapa mjini kwa ukuwadi...na shemejio alishapata habari zako ndio maana akawa anakutukana..
Na alichokiwaza ndicho kilicho tokea.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ungekuwa karibu ningekushika japo kalio ili kutuliza hasira....umetuzalilisha sana wanaume wenzio
Na hiyo tabia ya kukuwadia waume za watu itakutokea puani kama sio ma.ta.koni
Mtoto wa kiume unashindwa hata kutumia kichwa cha chini kufikiria kama cha juu kimeisha chaji.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom