Shantel
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 2,018
- 1,132
Umeona eee mkuu eti connection, connection bongo?Pole! Ila iliyovunjika ni wrong connection, now wait for the right connection. Shukuru Mungu imetokea mapema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eee mkuu eti connection, connection bongo?Pole! Ila iliyovunjika ni wrong connection, now wait for the right connection. Shukuru Mungu imetokea mapema.
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Kumbe ndo maana unajidai kumtetea?
una taka uchakachue pia?
duh,watu kwa ku-take advantage hamjambo,basi unajidai una hurumaaaaaaaa
Every disappointment is a blessing!! ...
Mijitu mingine bwana huwa sijui inaamkia wanzuki? mdada wa watu kaomba apewe moyo wa kuendelea na maisha yake unaanza kuleta habari za pesa na kakushushua hajawahi kupiga mzinga wowote ni huyo tu mtafuta connection ndio kamboa, tuwe na moyo wa huruma, sasa na wewe ngoja uje hapa umetendwa nathread yako kama utaonewa huruma....... id yako inasema yoteInaonekana wewe ni wale mademu wapiga mizinga sana,kaona sio type yake na may be hata mkikaa story zako ni udaku udaku umbea umbea na magazeti unayopenda kusoma ni ya udaku pia hata redio unayosikiliza ni clouds kipindi leo tena segment ni ile CHACHANDU na hii inaonekana dhahiri badala ya kwenda madhabahuni kusali kumuomba Mungu wako akuondolee pepo la ujinga na kutotumia akili wewe unakuja kutafuta kuonewa huruma kwa watu usiowaona wala kuwajua jf
Inaonekana wewe ni wale mademu wapiga mizinga sana,kaona sio type yake na may be hata mkikaa story zako ni udaku udaku umbea umbea na magazeti unayopenda kusoma ni ya udaku pia hata redio unayosikiliza ni clouds kipindi leo tena segment ni ile CHACHANDU na hii inaonekana dhahiri badala ya kwenda madhabahuni kusali kumuomba Mungu wako akuondolee pepo la ujinga na kutotumia akili wewe unakuja kutafuta kuonewa huruma kwa watu usiowaona wala kuwajua jf
We mwache tu sijui alikuwa anawaza nini, hawa ndio wanaume ambao hata hawawatunzi wake zao, wakiombwa pesa za salon wanajua wanachunwa tu, yaaani masaa yote wanajistukia.... wenzio huwa wanatoa matunzo wenyewe kwa kujua majukumu yao sio lazima waombweombweHee k vip, ushawahi kuvunjwa moyo wewe nadhani maumivu yake huyajui, huyo asiekupiga mizinga, anaesoma The Guardian na kuangalia CNN siku akikumwaga utaisoma number
Thanks dada BB kwa kunidefend huyu hajatendwa badoMijitu mingine bwana huwa sijui inaamkia wanzuki? mdada wa watu kaomba apewe moyo wa kuendelea na maisha yake unaanza kuleta habari za pesa na kakushushua hajawahi kupiga mzinga wowote ni huyo tu mtafuta connection ndio kamboa, tuwe na moyo wa huruma, sasa na wewe ngoja uje hapa umetendwa nathread yako kama utaonewa huruma....... id yako inasema yote
<br>We mwache tu sijui alikuwa anawaza nini, hawa ndio wanaume ambao hata hawawatunzi wake zao, wakiombwa pesa za salon wanajua wanachunwa tu, yaaani masaa yote wanajistukia.... wenzio huwa wanatoa matunzo wenyewe kwa kujua majukumu yao sio lazima waombweombweHee k vip, ushawahi kuvunjwa moyo wewe nadhani maumivu yake huyajui, huyo asiekupiga mizinga, anaesoma The Guardian na kuangalia CNN siku akikumwaga utaisoma number
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
kweli kabisa, sasa kwani huyu mtu mwanzo hakuona wakati anamtongoza? wanaume msipende kuwaumiza wadada wa watu, au angetafuta njia mbadala kuliko kumdhalilisha kwa neno la kukonektiBora kakwambia mapema cha kufanya wewe jivue gamba tu huna jinsi.
Siku zote usilazimishe usipo pendeka