Nimevunjika Moyo

Nimevunjika Moyo

nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni

hakuwa wako my dia na kama ni wako atarudi ni jaribu tu. songa mbele.
 
pole sana Dinnah....bora amejua na akakuambia mapema unaweza mpata mwingine,kuliko mngeharakisha harusi afu baada ya watoto kadhaa ndio angekutamkia hayo......again pole sana.....:grouphug:
 
Pole sana! yuko mwingine ambaye mtaendana nae, wala usife moyo. Maisha ndivyo yalivyo.
 
Kaa kwanza utulie na kutafakari kama kuna mahali ulikosea,jaribu kuangalia pia uliwahi mkasirisha mara ngapi na sababu,baada ya hapo jaribu kurekebisha kasoro hizo kabla hujaanza uhusiano mwingine.
 
pole sana Dinna dear, hilo ni jaribu yakupasa ulishinde, jipe moyo Mungu anakuwazia yaliyomema, furahi kwa kuwa yatokea mapema maana yangetokea wakati uhusiano wenu umefika mbali hali ungekuwa mbaya zaidi. Muombe mungu akupe furaha na amani ya moyo
 
Kumbe ndo maana unajidai kumtetea?
una taka uchakachue pia?
duh,watu kwa ku-take advantage hamjambo,basi unajidai una hurumaaaaaaaa

Haaa haaa mbavu zangu jamani, yani speaker umenichekesha sana, sikutegemea kucheka hivi hasa ukizingitia hili suala la Dinnah linavyosikitisha
 
Mpendwa ni vizuri kupata ushauri kwa wa2, bt inaonekana Mungu anampago mwema nawe. Tumeambiwa tushukuru kwa kila jambo. Mshukuru Mungu kwa hilo kisha mwombe akupe aliyekuchagulia. hutopata tena maumivu:mod:
 
Inaonekana wewe ni wale mademu wapiga mizinga sana,kaona sio type yake na may be hata mkikaa story zako ni udaku udaku umbea umbea na magazeti unayopenda kusoma ni ya udaku pia hata redio unayosikiliza ni clouds kipindi leo tena segment ni ile CHACHANDU na hii inaonekana dhahiri badala ya kwenda madhabahuni kusali kumuomba Mungu wako akuondolee pepo la ujinga na kutotumia akili wewe unakuja kutafuta kuonewa huruma kwa watu usiowaona wala kuwajua jf
Mijitu mingine bwana huwa sijui inaamkia wanzuki? mdada wa watu kaomba apewe moyo wa kuendelea na maisha yake unaanza kuleta habari za pesa na kakushushua hajawahi kupiga mzinga wowote ni huyo tu mtafuta connection ndio kamboa, tuwe na moyo wa huruma, sasa na wewe ngoja uje hapa umetendwa nathread yako kama utaonewa huruma....... id yako inasema yote
 
Hee k vip, ushawahi kuvunjwa moyo wewe nadhani maumivu yake huyajui, huyo asiekupiga mizinga, anaesoma The Guardian na kuangalia CNN siku akikumwaga utaisoma number
 
Mpen mawazo mwenzenu, naona mwamvunja moyo instead of lifting him/her. Pole mkuu, jitahidi kuzoea hali, mapenz bongo ful mikwazano bt ndio hali halisi.
 
Hee k vip, ushawahi kuvunjwa moyo wewe nadhani maumivu yake huyajui, huyo asiekupiga mizinga, anaesoma The Guardian na kuangalia CNN siku akikumwaga utaisoma number
We mwache tu sijui alikuwa anawaza nini, hawa ndio wanaume ambao hata hawawatunzi wake zao, wakiombwa pesa za salon wanajua wanachunwa tu, yaaani masaa yote wanajistukia.... wenzio huwa wanatoa matunzo wenyewe kwa kujua majukumu yao sio lazima waombweombwe
 
Mijitu mingine bwana huwa sijui inaamkia wanzuki? mdada wa watu kaomba apewe moyo wa kuendelea na maisha yake unaanza kuleta habari za pesa na kakushushua hajawahi kupiga mzinga wowote ni huyo tu mtafuta connection ndio kamboa, tuwe na moyo wa huruma, sasa na wewe ngoja uje hapa umetendwa nathread yako kama utaonewa huruma....... id yako inasema yote
Thanks dada BB kwa kunidefend huyu hajatendwa bado
 
Hee k vip, ushawahi kuvunjwa moyo wewe nadhani maumivu yake huyajui, huyo asiekupiga mizinga, anaesoma The Guardian na kuangalia CNN siku akikumwaga utaisoma number
<br>We mwache tu sijui alikuwa anawaza nini, hawa ndio wanaume ambao hata hawawatunzi wake zao, wakiombwa pesa za salon wanajua wanachunwa tu, yaaani masaa yote wanajistukia.... wenzio huwa wanatoa matunzo wenyewe kwa kujua majukumu yao sio lazima waombweombwe
 
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni

Pole sana Dinnah.....maisha ndo yalivo...
 
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni

Bora kakwambia mapema cha kufanya wewe jivue gamba tu huna jinsi.

Siku zote usilazimishe usipo pendeka
 
kweli kabisa, sasa kwani huyu mtu mwanzo hakuona wakati anamtongoza? wanaume msipende kuwaumiza wadada wa watu, au angetafuta njia mbadala kuliko kumdhalilisha kwa neno la kukonekti
 
Back
Top Bottom