Nimevunjika Moyo

Nimevunjika Moyo

Pole sana my dear! Usivunjike moyo, ndio maisha&nbsp; yalivyo! mimi niliambiwa <EM>"we are not compartible"&nbsp;&nbsp;</EM>mara elimu ikawa issue kwamba mimi nimemzidi, kwa hiyo if anything&nbsp; labda&nbsp; na yy afikie level yangu ya elimu na vikorokoro kibao! Niliumia sana lakini Mungu ni mwema niliweza kulipokea kama lilivyo! Nikaona O.k may be sikupangiwa huyo, pia nikagundua kwamba sometimes&nbsp; inawezekana nalazimisha kitu ambacho hakiwezekani, nikaona pia nisiwe selfish, kama yeye ameona we are not compatible sina haja ya kun'gan'gana. Lakini nikajifunza kwamba sometimes unaweza kuwa kwenye relationship ukadhani everything is fine mko poa&nbsp; na nini kumbe mwenzako kuna mambo hayamfurahishi so let it go, no matter how hard it is atampata ambaye ni compatible na mimi Mungu akipenda nitampata yule alieniandikia! Najua inauma sana mpendwa ila ndo hivyo, mpishe tu, mpe nafasi&nbsp;&nbsp;akatafute hiyo connection kwingine, wewe&nbsp;usivunjike moyo wala usikate tamaa, utampata tu mwingine ambaye hata ku judge!
Inaweza kuwa elimu eeee pole mpendwa
 
Pole my dear ndio maisha, ila huwa yanapita shukuru Mungu umeambiwa mapema hata tundi hajala shukuru sana katika hilo. Maana wengine wanagalagazwa weeeeeeeeeeeeeeee halafu wanaachwa kimya kimya inaumaje?
Ahsante dada Maty, nashukuru kwa kweli na wala sichukii na simchukii yeye ila tu rohoni nimeumia mwenyewe
 
Ahsante dada Maty, nashukuru kwa kweli na wala sichukii na simchukii yeye ila tu rohoni nimeumia mwenyewe

Kuumia muhimu mamito, cha kushukuru ni kwamba huwa yanapita na yanasahaulika baada ya muda na maisha yanaendelea. Yangekua yanabaki mioyoni sijui ingekuwaje
 
Bora amekutamkia wazi mpendwa kuliko angekuletea vituko uhangaike kutafuta kulikoni na bado baadae angekumwaga.
Wangekua wote wastaarabu kiasi cha kusema ukweli hivyo wanawake tusingelia kutendwa.
Kama yeye alivyokuacha kuna mwingine ameachwa anakutafuta, yupo anakuja ni suala la muda tu!
Uwe na amani.
 
najua mpenzi ila lazima tu moyoni usononeke then uweze ku move on, namshukuru sana sana
 
Kuumia muhimu mamito, cha kushukuru ni kwamba huwa yanapita na yanasahaulika baada ya muda na maisha yanaendelea. Yangekua yanabaki mioyoni sijui ingekuwaje
Yangekuwa yanabakia tungekuwa tunatembea mikono kichwani
 
Pole! Ila iliyovunjika ni wrong connection, now wait for the right connection. Shukuru Mungu imetokea mapema.
Hivi maumivu si maumivu tu? iwe mapema au kuchelewa, au utakayopata mapema yana kuwa madogo?
 
Hivi maumivu si maumivu tu? iwe mapema au kuchelewa, au utakayopata mapema yana kuwa madogo?

Maumivu ni maumivu mdogo wangu, ila ushukuru Mungu hukumpanulia miguu maana believe me ungekua una maumivu zaidi ya hayo. Kwani anaekupenda kwa dhati lazima atakusubiri sema sisi wanawake saa nyingine sijui inakuaje tunapanua mapema kabla ya kusoma alama za nyakati. Yaani nakupongeza sana kwa kuwa mvumilivu.
 
Tumetofautiana sana aisee, mie niwe nimevua sijavua nikiamua ku move on naanza tu, navunjika moyo then najipa moyo mwingine naendelea na maisha
 
Tumetofautiana sana aisee, mie niwe nimevua sijavua nikiamua ku move on naanza tu, navunjika moyo then najipa moyo mwingine naendelea na maisha

Na pia inategemea na umri my dear, kuna umri fulani unajikuta yameshakutokea matukio kama hayo mawili matatu basi hayo mengine yanakua yanapita haraka kuliko maelezo, maumivu yanakua kidogo sana
 
Na pia inategemea na umri my dear, kuna umri fulani unajikuta yameshakutokea matukio kama hayo mawili matatu basi hayo mengine yanakua yanapita haraka kuliko maelezo, maumivu yanakua kidogo sana
Kwa kweli na kuna umri hakuna kuchezewa na mwanaume bali mnachezeana wote na mkiachana hakuna wa kujuta
 
Kwa kweli na kuna umri hakuna kuchezewa na mwanaume bali mnachezeana wote na mkiachana hakuna wa kujuta
Nadhani hapa it depends how hard you have fallen; (na experience inakufanya isiwe rahisi kwako kudanganywa na kumuamini mtu 100%) lakini the more ukimpenda na kumuamini mtu, the easier is kuumizwa na hapa hakuna umri, tofauti ni kwamba experience inakufanya uchukue uamuzi wa busara.

Stats zinaonyesha kwamba lonely older women/men, inakuwa ni rahisi kudanganywa na vijana wadogo na kama kwa bahati mbaya ukianguka kwenye penzi katika umri huu, matokeo yake yanaweza kuwa mabaya zaidi
 
Kweli kabisa mkuu the older you became the harder inakuwa kwenye kuhandle hii ishu, na ukiumia unaumia haswa si kitoto, sababu nahisi ni kuwa ulikuwa unajua unafanya nini,wengime hata wakiwa na mahusiano mengi laini kila wanapovunjwa moyo wanaumia the same
 
Inaonekana wewe ni wale mademu wapiga mizinga sana,kaona sio type yake na may be hata mkikaa story zako ni udaku udaku umbea umbea na magazeti unayopenda kusoma ni ya udaku pia hata redio unayosikiliza ni clouds kipindi leo tena segment ni ile CHACHANDU na hii inaonekana dhahiri badala ya kwenda madhabahuni kusali kumuomba Mungu wako akuondolee pepo la ujinga na kutotumia akili wewe unakuja kutafuta kuonewa huruma kwa watu usiowaona wala kuwajua jf

wakati niko chuo, nilipata demu yeye kila kitu anataka umnunulie........akaamua kuhamia getho langu, nikaona huyu mjinga, si nikamkimbia.............. yaani mwanamke mzuri ni yule independent banaaaa.......
 
Wanaume wa siku hizi kukwepa majukumu bwana ... sasa ulitaka nani amtunze? ndio maana mnakimbilia umario tu, chakarika ufanye majukumu yako na msichana afanye yake, kwani kuwa independent ndio hauudumiwi? utakuta kijana yuko na gf wake au mchumba wake hata kumnunulia perfume na zawadi ndogondogo hakuna, ila yeye zawadi anapenda lol,...
 
Indeed....
"When one door of happiness closes, another opens; but often we look so long at the closed door that we do not see the one which has been opened for us."

Mara nyingi tunapigania lost cause, badala ya kuangalia au kutafuta anayetuhitaji na kutujali,
It not worth it the earlier we move on, the better...., Time Heals.
kuna wakati inajilock kwa ndani mpaka mtu wa nje akufungulie
 
Back
Top Bottom