Nimevuruga kikao cha watu, hakuna ndoa tena

Ushauri mzuri sana huu japo kwa upande wa mwanamke unaumiza, ila atajifunza na atatulia kwenye ndoa yake hata akija Kuwa na mwanaume mwingine huko mbeleni hata kama afanye kosa kama hili kamwe

Ni sahihi
 
Umeanza na jina linaanziwa name J baadae umenogewa kutuambia ni James

Ila hata ukiachana na mambo ya Bikra. Hakuna ndoa hapo......mapema sana kakunjua makucha tayari huyo mgogo/mrangi

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mlikula kimasihara sasahivi wanawalia wenu kimasihara
 
Wakuu kwema!

Jana jumamosi nilikuwepo kwenye Kikao kilichofanyika Tegeta Tangibovu.

Kikao kilimhusu mtoto wa Baba Mkubwa, ambaye kiumri anamiaka 29 nikiwa nimemzidi miaka Kama sita hivi.
Joka jeusi iko ni kipaji mzee wa kutibua
 
Wewe ukiniona kwenye kikao chochote ujue nimeitwa Kwa maamuzi magumu tuu, huwaga sihudhurii vikao hovyo hovyo.

Watu hunikodisha Kwa kuchafua upepo
Ipo siku yako utajua ujui itaingia mingo utakutana na mwanamke kamondo atacho kufanya hutokaa isahau
 

Aisee blo angu mbona umekuja kunianika huku...!? James mdogo ako nimekumind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…