Nimevuruga kikao cha watu, hakuna ndoa tena

Mimi hata ingekua ni siku ya harusi na nimemdaba na huo ushubwada ndoa inaahirishwa.
Kwanza ntakua nimemsaidia mwenyewe coz nikiishia nae sitamwamini kabisaa na tutaishi maisha ya kutoaminian bora umteme papo hapo.
 
Mkeo keshakusamehe kweny ule uzi wa ID yako mpya,au umeamua na dogo mtu akose mke kama ww!hahha jokes!!ila ulichofanya cha uungwana sanaa,hao wangejasumbuana maana jamaa kashajua ukweli!kuishi na mwanamke asiemwaminifu n kama kuchemsha maziwa kweny jiko la gas,muda wote ni kijishtukia tu
 
Wakuu kwema!

Jana jumamosi nilikuwepo kwenye Kikao kilichofanyika Tegeta Tangibovu.

Kikao kilimhusu mtoto wa Baba Mkubwa, ambaye kiumri anamiaka 29 nikiwa nimemzidi miaka Kama sita hivi.
Mwisho Uzalendo umekushinda eeh? J ni james!
 
Hakua fungu lake huyo J ila jaribuni kutumia hekima na si Hasira ikibidi mwanamke aambiwe kiungwana na atiwe moyo achukulie nisehemu ya maisha
 
Hakua fungu lake huyo J ila jaribuni kutumia hekima na si Hasira ikibidi mwanamke aambiwe kiungwana na atiwe moyo achukulie nisehemu ya maisha

Hakuna uungwana Kwa wanawake wa dizaini hiyo Mkuu.
 
Mimi hata ingekua ni siku ya harusi na nimemdaba na huo ushubwada ndoa inaahirishwa.
Kwanza ntakua nimemsaidia mwenyewe coz nikiishia nae sitamwamini kabisaa na tutaishi maisha ya kutoaminian bora umteme papo hapo.

Ndivyo inavyotakiwa kuwa
 
Ati ufe mapema kisa mpuuzi
 
Jina la muvi bro
 
Ati ufe mapema kisa mpuuzi
Hilo hata mimi siwez kuliunga mkonoo,yaan kama aliamua kuchepuka na huyo jamaa,ni kwamba alimtaka huyo J kumuheshimisha tu kwny jamii kuwa kaolewa ila moyo na akili zote zipo kwa huyo mchepuko!!!hongera sanaa kwa kumsanuaa mapema maana angeingia nae kweny ndoa ingejakuwa ngumu kuivunjaa ila kwa ss amefanya ile kitu wanaume wanafanya.
 
Noma saana ila kuna bikra sasa wa miaka 29 hao aisee ni mashimo tu. Kikubwa kizazi kiwepo hiyo ndio bikra ya karne hii
 
Umeanza na jina linaanziwa name J baadae umenogewa kutuambia ni James

Ila hata ukiachana na mambo ya Bikra. Hakuna ndoa hapo......mapema sana kakunjua makucha tayari huyo mgogo/mrangi
Atakuwa mrangi huyu bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…