yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Kweli tanzania tuna safari ndefu sana yani hata marefa hatuna....sijaona madudu ya marefarii kama ya kwenye ligi ya bongo ,marefa wa kagame walikuwa na nidham ya mchezo,busara,na ukali kidogo pale palipohitajika,makosa ya kibinadam ni kidogo...marefa wa bongo wana cha kujifunza