Nimevutiwa na marefa wa Kagame cup

Nimevutiwa na marefa wa Kagame cup

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Kweli tanzania tuna safari ndefu sana yani hata marefa hatuna....sijaona madudu ya marefarii kama ya kwenye ligi ya bongo ,marefa wa kagame walikuwa na nidham ya mchezo,busara,na ukali kidogo pale palipohitajika,makosa ya kibinadam ni kidogo...marefa wa bongo wana cha kujifunza
 
Marefa wa kitanzania hao unaowadharau pia walichezesha mechi za Kagame.
 
Back
Top Bottom