Nimevutiwa na mpango wa CHADEMA wakukusanya rasilimali na kuboresha makazi ya akina Lingwenya, Azory na wengine wanaougulia machungu

Nimevutiwa na mpango wa CHADEMA wakukusanya rasilimali na kuboresha makazi ya akina Lingwenya, Azory na wengine wanaougulia machungu

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Nimefanikiwa kukutana kijiweni na baadhi ya viongozi wa Bavicha wakiwa Mwanza nakujadiliana nao kuhusu mikakati Yao ya muda mfupi katika eneo la kusaidia jamiii wakasema wanalo wazo soon litamature na Kuanza utejelezaji. Mawazo Yao yamejikita kufanya haya Kwa jamiii

1. Familia ya Azory GWANDA Kwa maana mke na watoto PAMOJA na wazazi wameachwa njia panda wasijue alipompendwa wao. Lakini wapo katika mazingira yakuhitaji faraja, BAVICHA wanawaza kujenga nyumba Kijijini Kwa kukusanya Fedha Kwa wananchi kusaidia kufanya Yale ambayo wanaamini angekuwepo angeyafanya

2. Vijana watatu walippo gerezani wameacha familia zao zikiwa na Hali si nzuri kiuchumi. Wanao mpango wakuchangisha michango na kuipeleka kwenye familia kutatua changamoto ikiwemo kuwatengenezea makazi Bora familia na kuwafanya wasihisi uchungu Kwa kiasi kile. Tukumbuke Hawa wote Urio ametuambia siyo wahalifu na awajawahi kupanga uhalifu ila yeye aliwaondoa kwenye vibarua vyao nakwenda kuwatengenezea ugaidi na he can stand before the court and testify BILA kujali anawaumiza VIPI wanafamilia wa watajwa.

Endapo watafanikiwa kuchangisha Fedha nakutimiza lengo watakuwa wamesaidia wanyonge kupunguza chuki na kuendelea kumwomba MUNGU alainishe miyoyo ya watawala. It pains pale unapomsikia shahidi akitamka mahakamani kwamba aliwashawishi watoto wako waache kazi akawahidi kuwapatia ujira mkubwa zaidi na kazi nzuri Kisha wanafika kwenye kazi anawageuzia ubao na kuwafanya wahalifu.

Ikumbukwe Hawa watu awajawahi hata kumkosea ila tu yeye na waliomtuma Kwa malengo wanayoyajua wao wameamua waharibu future ya vijana Hawa wao wapo wanakula bia, wanalala pazuri, watoto wao wanasoma vizuri, familia zao zinapata Kila kila kitu and no one is coming out and condem these haya matendo ya kishetani.

Niwaombee Bavicha Kila la heri kuelekea kwenye kampeni ya UZUNIKA NA WANAOLIA, WAFARIJI NAKUWAPA MATAMAINI KWAMBA KESHO NI NZURI KULIKO JANA.
 
Back
Top Bottom