Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Ndugu wananchi,
Salaam za upendo wa dhati ziwafikie huko mlipo.
Kwa siku za karibuni nimekutana na marafiki kadhaa wakimiliki magari mbalimbali. Kuna mmoja anamiliki Toyota Crown Athlete, mwingine Crown Royal, na mmoja wa Subaru Impreza.
Katika magari yote hayo nimetokea kuvutiwa sana na Subaru Impreza. Mwendo wake ni wa uhakika licha ya kuwa na cc 1990 japo zipo zenye cc 1450. Hata bei yake iko kwenye range ya
milioni 10 mpaka 12. Toyota Crown Athlete ni gari nzuri sana pia lakini bei yake ya milioni 16 na matumizi yake makubwa ya mafuta vinanipa mashaka sana. Ninavutiwa na Impreza kwa
sababu pia naona zinakua imported kwa wingi sana Tanzania hivyo sina mashaka sana juu ya spare zake licha ya kuwa za bei ya juu.
Naomba wenye uzoefu zaidi na Subaru Impreza wanipe hasa weakness zake, na hata wenye uzoefu na Toyota Crown Athlete na Crown Royal wanieleze pia pengine nitashawishika.
baadaye.
Nategemea mawazo yenu wakuu.
Asanteni