Nimewaambia Gemini na ChatGPT wafanye projection ya bei za Mafuta mwezi huu May, wote wamekuja na uelekeo sawa!

Nimewaambia Gemini na ChatGPT wafanye projection ya bei za Mafuta mwezi huu May, wote wamekuja na uelekeo sawa!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Hizi AI mbili, zimekuja na majibu yanayofanana (almost):

Gemini (Google)
IMG_8406.jpeg


ChatGPT
IMG_8407.jpeg

Ingawa ChatGPT anashawishi ongezeko dogo, ila Gemini yeye anaamini itaongezeka tsh 500 kwa kila lita.

Vigezo vyao vimetoka kwenye:
-Bei mpya soko la dunia.
-Exchange rate ya dollar vs tsh.
-Benchmark ya nchi za jirani (East Africa)
-nk.

Tusubiri J5 wala sio mbali. Ila kuvuka Elfu 4 ni lazima. Nadhai yanajirudia ya 2022 (Russia vs Ukraine)!
 
Back
Top Bottom