Hatokuelewa kamwe, kashazamilia jambo lake huyo.Mimi nimemwambia asipoteze pesa nyingi kwani furaha ya ndoa sio Harusi.
Kwa kuwa bado tunajitagmfuta pesa iliyopo tuchangishane tumalize nyumba na huyu dogo wa chuo.
HahahHatokuelewa kamwe, kashazamilia jambo lake huyo.
HahahahaaKama unawaambia watu ukweli(hasa waswahili) halafu unategemea kupendwa UNAKOSEA.
Imeisha hyo mkuu ,ww jiandae kula wali kuku na bia siku ya harusiSawa ila mimi nimewaeleza kwa uzuri tu bila ugomvi. Wasije wakasema mbona hukusema
Nilijua atajiongeza maana tumesota wote kimaisha anajua a to z.
Mkuu,Kama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani.
Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge.
Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia mwenzako Dada au Kaka. Mimi nilimaliza masomo baada ya kuhangaikiwa sana na Dada yangu na Kaka Yangu waliokuwa wanafanya kazi za Ndani. Hatimaye nikayakwaa majiwe kadhaa ya Elimu.
Baada ya kuyakwaa majiwe ikabidi na mimi nianze sasa kuinua waliobaki nyuma. Ila sasa maji yamezidi Unga. Nahitaji msada. Hivi kwa Tanzania hii unaweza kusomesha watu watano kwa mpigo vyuoni?
Basi tukasonga mbele kama familia hatimaye tukainuka......sasa watu kadhaa wana vipato vizuri tu. Alhamdullilah.
Tuna kesi tatu kwa pamoja.
1. Dogo yuko chuo anasoma
2. Nyumba imejwngwa bado finishing
3. Kaka anafunga ndoa.
Mimi kwenye kikao cha wanafamilia nimewambia hizi fedha badala ya kuchangia harusi tuchange kwa ajili ya Dogo masomoni na Tumalizie nyumba ya familia( Family house kwa maana ya family house).
Wamefura.
Hii imenishangaza ni sawa na washkaji zangu unakuta anachangia harudi laki tatu huku Mama yake kijijini anaumwa anamtumia elfu 20.
Wafrika tubadilike. Maendeleo ni sisi wenyewe.
Daah....hii kali. Aunt anataka kuchanua msamba kwa pesa za kukopa?Mkuu,
Nilichogundua katika maisha haya ni kwamba, akili nyingi ni mzigo pia.
Yani unaweza kuwa na akili zaidi ya wenzako halafu hiyo akili ikawa mzigo, wenzako hawakuelewi, na wakija kukuelewa unayosema keo, inawachukua miaka 20.
Michango ya harusi za kifahari kushinda uwezo wa kawaida wa watu ni shobo tu za kijanii za kutaka kujiinesha kuwa "na sisi tumo". Lakini hazina tija.
Mimi nilikataa ujinga huu. Ila familia zinakuwa na changamoto sana.
Kuna wakati aunt mmoja alikuwa anaozesha mtoto wake. Anti mtu fulani wa kupenda harusi za fahari sana, alikuwa anataka kukodisha ukumbi wa Mlimani City, enzi hizo ndiyo unaanzishwa tu.
Mimi mchango nililipa, ila aunt akaja kwangu anasema anataka kukopa a few thousand US dollars kukamilisha harusi, atanilipa. Mimi nikajua hapa nikitoa imeenda hii. Ila kwa heshima nikampa, alisema anataka kuwa ntu wa kwanza kanisani kwetu kufanya harusi hapo Mlimani City, apparently that was so important for her status.
Nikasema huyu aunt wangu, kanipitisha machaka mengi sana wakati naanza maisha, najua hii hela hawezi kunilipa, lakini si kitu, ngoja nione.
Nikampa zile hela, I think it was about $3,000. Hapo nishachangachanga sana na kununua nunua sana nguo za New York kutuma kwenye harusi.
Kama nilivyotabiri, harusi ikaisha na habari ikaishia hapohapo.
Ila haikuwa issue sana kwangu kwa sababu nilijua tangu awali kwamba hii hairudi. Na yule cousin aliyekuwa anaoa ni mtu wangu sana. Nikaona hii shughuki ya nyumbani siipigii hesabu.
Ningetegemea pesa irudi ingekuwa tabu.
Mara nyingine hawa watu unamalizana nao kulinda mahusiano tu, halafu unafanya mambo mengine kivyako.
Hahahaaaa... Asante mkuuNiko upande wako daktari mwambie Kaka mkubwa aache Mara moja ujinga ujinga wa hivyo ,tutakuwa hatumuiti Kaka Sasa kwa huu ujinga wake
Ajiandae akale pilau na soda maishà yaendelee tu maana familia zetu hz n balaa ,hata usipochanga unaonekana mchawi yaan n huzuniiMkuu,
Nilichogundua katika maisha haya ni kwamba, akili nyingi ni mzigo pia.
Yani unaweza kuwa na akili zaidi ya wenzako halafu hiyo akili ikawa mzigo, wenzako hawakuelewi, na wakija kukuelewa unayosema keo, inawachukua miaka 20.
Michango ya harusi za kifahari kushinda uwezo wa kawaida wa watu ni shobo tu za kijanii za kutaka kujiinesha kuwa "na sisi tumo". Lakini hazina tija.
Mimi nilikataa ujinga huu. Ila familia zinakuwa na changamoto sana.
Kuna wakati aunt mmoja alikuwa anaozesha mtoto wake. Anti mtu fulani wa kupenda harusi za fahari sana, alikuwa anataka kukodisha ukumbi wa Mlimani City, enzi hizo ndiyo unaanzishwa tu.
Mimi mchango nililipa, ila aunt akaja kwangu anasema anataka kukopa a few thousand US dollars kukamilisha harusi, atanilipa. Mimi nikajua hapa nikitoa imeenda hii. Ila kwa heshima nikampa, alisema anataka kuwa ntu wa kwanza kanisani kwetu kufanya harusi hapo Mlimani City, apparently that was so important for her status.
Nikasema huyu aunt wangu, kanipitisha machaka mengi sana wakati naanza maisha, najua hii hela hawezi kunilipa, lakini si kitu, ngoja nione.
Nikampa zile hela, I think it was about $3,000. Hapo nishachangachanga sana na kununua nunua sana nguo za New York kutuma kwenye harusi.
Kama nilivyotabiri, harusi ikaisha na habari ikaishia hapohapo.
Ila haikuwa issue sana kwangu kwa sababu nilijua tangu awali kwamba hii hairudi. Na yule cousin aliyekuwa anaoa ni mtu wangu sana. Nikaona hii shughuki ya nyumbani siipigii hesabu.
Ningetegemea pesa irudi ingekuwa tabu.
Mara nyingine hawa watu unamalizana nao kulinda mahusiano tu, halafu unafanya mambo mengine kivyako.
Familia ni kitu nyeti watu hawajui tuKama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani.
Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge.
Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia mwenzako Dada au Kaka.
Mimi nilimaliza masomo baada ya kuhangaikiwa sana na Dada yangu na Kaka Yangu waliokuwa wanafanya kazi za Ndani.
Hatimaye nikayakwaa majiwe kadhaa ya Elimu.
Baada ya kuyakwaa majiwe ikabidi na mimi nianze sasa kuinua waliobaki nyuma. Ila sasa maji yamezidi Unga. Nahitaji msada. Hivi kwa Tanzania hii unaweza kusomesha watu watano kwa mpigo vyuoni?
Basi tukasonga mbele kama familia hatimaye tukainuka, sasa watu kadhaa wana vipato vizuri tu. Alhamdullilah.
Tuna kesi tatu kwa pamoja.
1. Dogo yuko chuo anasoma.
2. Nyumba imejwngwa bado finishing.
3. Kaka anafunga ndoa.
Mimi kwenye kikao cha wanafamilia nimewambia hizi fedha badala ya kuchangia harusi tuchange kwa ajili ya Dogo masomoni na Tumalizie nyumba ya familia (Family house kwa maana ya family house).
Wamefura.
Hii imenishangaza ni sawa na washkaji zangu unakuta anachangia harudi laki tatu huku Mama yake kijijini anaumwa anamtumia elfu 20.
Wafrika tubadilike. Maendeleo ni sisi wenyewe.
Shida tupuAjiandae akale pilau na soda maishà yaendelee tu maana familia zetu hz n balaa ,hata usipochanga unaonekana mchawi yaan n huzunii
Changia tuu mfanikishe shughuli yake kaka Kwa kuwa yeye ameona ni muhimu hayo mengine atajihukumu mwenyewe.Sawa mkuu umeshauri vizuri.
Kumbuka huyu bro huwa hachangii mambo ya familia kwa nini sisi tupoteze kwa ajili yake?
Nyie kabila gan mbona mnapenda shughuli sana?Kama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani.
Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge.
Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia mwenzako Dada au Kaka.
Mimi nilimaliza masomo baada ya kuhangaikiwa sana na Dada yangu na Kaka Yangu waliokuwa wanafanya kazi za Ndani.
Hatimaye nikayakwaa majiwe kadhaa ya Elimu.
Baada ya kuyakwaa majiwe ikabidi na mimi nianze sasa kuinua waliobaki nyuma. Ila sasa maji yamezidi Unga. Nahitaji msada. Hivi kwa Tanzania hii unaweza kusomesha watu watano kwa mpigo vyuoni?
Basi tukasonga mbele kama familia hatimaye tukainuka, sasa watu kadhaa wana vipato vizuri tu. Alhamdullilah.
Tuna kesi tatu kwa pamoja.
1. Dogo yuko chuo anasoma.
2. Nyumba imejwngwa bado finishing.
3. Kaka anafunga ndoa.
Mimi kwenye kikao cha wanafamilia nimewambia hizi fedha badala ya kuchangia harusi tuchange kwa ajili ya Dogo masomoni na Tumalizie nyumba ya familia (Family house kwa maana ya family house).
Wamefura.
Hii imenishangaza ni sawa na washkaji zangu unakuta anachangia harudi laki tatu huku Mama yake kijijini anaumwa anamtumia elfu 20.
Wafrika tubadilike. Maendeleo ni sisi wenyewe.
WellSiku zote mwenye ukweli,huonekana kama kikwazo.
Asiejua changamoto ya upatikanaji wa ada ni nani? Huyo ni limbukeni tu,kama siyo kuendeshwa na demu. Angekuwa na kili,mngechanga na hiyo pesa basi kaigawa mara tatu. Au,basi asitake kujionyesha wa masafa mrefu,kana kwamba amesahau alikotoka. Na mpaka mnachangishana vitu hivyo,na pengine kuna watu labda wangesimamia jambo moja moja na kukamilisha. Kwa hiyo,dogo chuoni yupo tayari kusherehekea harusi ya kaka yake,na kukatisha masomo? Kama jibu ni NO, basi hata yeye mnaenda kumjengea mazingira ya kujiona hana thamani tena,bali alie nacho ndo anaongezewa,yeye asiye na chochote,ndo kabisaaa,mazima.
Hahahaa wapo wengi sanaKuna watu huwaambii kitu kuhusu sherehe wako radhi wauze hata mashamba ilimradi harusi ifane
Hawa watu ni wa kuwaonesha mfano tu.Ajiandae akale pilau na soda maishà yaendelee tu maana familia zetu hz n balaa ,hata usipochanga unaonekana mchawi yaan n huzunii