mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Wakati Tupac anauliwa nilikuwa kidato cha pili,kwa umri huo nilikuwa navaa mlegezo na kitambaa kichwani,wenzangu walienda mbali kwa kutoboa masikio na kujichora tatoo
Nilimkubali sana japo alisababisha nisifanye vizuri darasani kwa kukariri nyimbo zake badala ya masomo
Miaka kadhaa nilibaini P Diddy ni bingwa wa sampling nikamdharau.
.jambo la kushangaza Tupac naye alifanya sampling ya nyimbo akriban 40