TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 3,353
- 11,038
@Mdukuzi,kwanza unatakiwa HIPHOP ni utamaduni ambao ni symbol ya mtu mweusi duniani.
Hilo suala lako la Sampling limeelezewa vyema kwenye nguzo ya kwanza ya HIPHOP inayoitwa DJING (UDJ).
Kiuhalisia Sampling ndio inakaa hapo sasa kwenye DJING,nadhani unajua jinsi DJ anavyokuwa anachanganya changanya beat. Tangu HIPHOP ianze hakuna wimbo hata mmoja wa HIPHOP ambao sio sampling either ya funk za miaka ya 70 au Blues na Country za miaka ya 60..
Kama unabisha lete wimbo mmoja hapa unaoujua wewe tukuambie original yake ni wimbo gani.
Sio Jay Z,Sio Biggie,Sio Kanyewest,Sio Rakims allah,Sio Naughty by Nature,Sio Mob Depp,sio Future,sio Rich the kid,sio Rickross,Sio Polo G wote nyimbo zao zimesample nyimbo za miaka ya nyuma..
Ila what we Focus mostly ni nguzo mbili tu za HIPHOP nazo ni rapping (your vocals na utunzi wako kiujumla) na Knowledge ambayo pia nayo ni nguzo ya HIPHOP.Hizo ndizo nguzo tunazosema zimewapa heshima Biggie na Pac