Kama hupendi sampling basi inabidi uachane na hip hop maana aslimia 99 ya hip hop ni sampling.Wakati Tupac anauliwa nilikuwa kidato cha pili,kwa umri huo nilikuwa navaa mlegezo na kitambaa kichwani,wenzangu walienda mbali kwa kutoboa masikio na kujichora tatoo
Nilimkubali sana japo alisababisha nisifanye vizuri darasani kwa kukariri nyimbo zake badala ya masomo
Miaka kadhaa nilibaini P Diddy ni bingwa wa sampling nikamdharau.
.jambo la kushangaza Tupac naye alifanya sampling ya nyimbo akriban 40
Revenge is like the sweetest joy, next to getting pussy.I'm not a killer, but don't push me.
View attachment 3423682
Don't change on me. don't extort me, unless you intend to do it forever.Revenge is like the sweetest joy, next to getting pussy.
Hit em upI'm not a killer, but don't push me.
View attachment 3423682
Pac anakwambia "I don't do it, I overdo it" 😂😂😂Don't change on me. don't extort me, unless you intend to do it forever.
Halafu aka sema "only God can judge me" 😂😂Pac anakwambia "I don't do it, I overdo it" 😂😂😂
Sio hit em up, hiyo ngoma ni hail Mary.Hit em up
Yaani nilivyoona hiyo picha yake nikakumbuka ule wimbo anamtukana pdiddy na ndugu notorious na chino xlSio hit em up, hiyo ngoma ni hail Mary.
Rap karibia zote ni sampling, ndio maana wanazi wa mziki wanasema hiphop sio mzikiWakati Tupac anauliwa nilikuwa kidato cha pili,kwa umri huo nilikuwa navaa mlegezo na kitambaa kichwani,wenzangu walienda mbali kwa kutoboa masikio na kujichora tatoo
Nilimkubali sana japo alisababisha nisifanye vizuri darasani kwa kukariri nyimbo zake badala ya masomo
Miaka kadhaa nilibaini P Diddy ni bingwa wa sampling nikamdharau.
.jambo la kushangaza Tupac naye alifanya sampling ya nyimbo akriban 40
Hata kujua nitumie hii ngoma kufanya sample ni creativity na kuifanya ngoma kuwa kubwa nayo ni creativity kubwa zaidi.Hii maana yake nini
Hawako creative au
Bad enough kuna sample nyingi tu zimefanywa na hawa wanamuziki wa kuimba kama Beyonce, sijui nao sio wanamuziki!?Rap karibia zote ni sampling, ndio maana wanazi wa mziki wanasema hiphop sio mziki
In other words, nobody can judge him, because God doesn't exist.Halafu aka sema "only God can judge me" 😂😂
Kiranga hii bait uliyo iweka, naijua vizuri😂In other words, nobody can judge him, because God doesn't exist.