Nimewamiss hawa watu Jamani

Nimewamiss hawa watu Jamani

Aisee Dena inamaana ni mimi tu ndo hujanimiss siyo?

Wewe nimekumiss ila jana uilkuwa mkali mpaka nikaogopa kukusemesha
niliporudi home Bibi nae kanuna nikalala mapema na kuamka mapema hasira zimekwisha??
 
Wewe nimekumiss ila jana uilkuwa mkali mpaka nikaogopa kukusemesha
niliporudi home Bibi nae kanuna nikalala mapema na kuamka mapema hasira zimekwisha??

Hebu njoo unikiss uamini.
 
moja ni la hapa lingine ni la chumbani,,la hapa ni kuwa lleo unapaswa utoe thx 5 moja ikiwa yangu,,,lingine nenda chumbani kajibu ile hoja

Hizo thanks mpaka zifike 30 ujue zina bajeti. la chumbani jibu linakuja sasa hivi
 
hapo ndo unaponimaliza zaidi!mi nazidi kukupenda tu,,,,babu hv uliacha ukaguzi eee?

Ukaguzi nikiacha,
Hauoni mtachacha,
Mtalia kutwa kucha
Babu sitapata picha

Njoo huku nikukague sasa.
Nkucheki kama uko safi sasa,
Niiridhishe yangu nafsi sasa,
Roho yako iwe safi sasa.
 
Ukaguzi nikiacha,
Hauoni mtachacha,
Mtalia kutwa kucha
Babu sitapata picha

Njoo huku nikukague sasa.
Nkucheki kama uko safi sasa,
Niiridhishe yangu nafsi sasa,
Roho yako iwe safi sasa.

Hivi mashairi umeanza lini tena??
 
Ukaguzi nikiacha,
Hauoni mtachacha,
Mtalia kutwa kucha
Babu sitapata picha

Njoo huku nikukague sasa.
Nkucheki kama uko safi sasa,
Niiridhishe yangu nafsi sasa,
Roho yako iwe safi sasa.

bora maana nilitaka sana kukaguliwa hahaha!babu mwaka huu anakagua maeneo gani vile?
 
Back
Top Bottom