Nimewamiss hawa watu Jamani

Nimewamiss hawa watu Jamani

miss u sana stwy!sema majukum 2 yanabana,2sipofanya kazi twaweza geuka kina marioo na masharobaro bureee!karibu tena mpz
 
Dena gamila desi...danke schon!:clap2::clap2:
 
Join Date : Thu Nov 2010
Posts : 519
Thanks: 1Rep Power : 22

Wise Lady na BAK mmemuona huyu?? Thanks ngapi?? Mnanisema mie tu kumbe tuko wengi

huyo derimto ni mchoyo sana alikuwa anasingizia cm!dena leo nna maono juu yako............
 
huyo derimto ni mchoyo sana alikuwa anasingizia cm!dena leo nna maono juu yako............

We shindwa kwa nguvu ya UMMA mwenzako natafuta mtoto kwa hiyo nimepunguza kale ka tabia nakusanya nguvu.

Ila usicheke maana atakuwa mtoto wa 7
 
We shindwa kwa nguvu ya UMMA mwenzako natafuta mtoto kwa hiyo nimepunguza kale ka tabia nakusanya nguvu.

Ila usicheke maana atakuwa mtoto wa 7
Derimto ngoja niende kwenye duka la wholesale nikununulie thanks naona hapo unapoishi hawauzi thanks, nitakununulia thanks za mafungu
 
huyo derimto ni mchoyo sana alikuwa anasingizia cm!dena leo nna maono juu yako............
Kuna sehemu fulani huku kuna duka la jumla ndio naenda kumnunulia Derimto THANKS kama katoni 10 hivi
 
miss u sana stwy!sema majukum 2 yanabana,2sipofanya kazi twaweza geuka kina marioo na masharobaro bureee!karibu tena mpz
Wee SHAROBARO wa kike uko guest gani sasa hivi Posted via Mobile au uko MACHI MACHI GUEST HOUSE
 
We shindwa kwa nguvu ya UMMA mwenzako natafuta mtoto kwa hiyo nimepunguza kale ka tabia nakusanya nguvu.

Ila usicheke maana atakuwa mtoto wa 7

hahaha!ili upate huyo mtoto anza kutoa senks!nani atalea hao wote ukichanganya na wale.....?
 
oooh no!odm mpenzi,,wiselady ni yule yule wa juzi,jana na leo!nakumiss sana

Hii kupost via mobile
Hii kumpotezea babu vile,
Hii kutompigia vigelegele,
Hii kujifanya kimbelembele,
Hii kutonitafuta kule,
Hii kutonitangulia mbele,
Hii kunifanya nisile,
Hii kunifanya nsilale,

Umebadilika sana,
Unanisikitisha sana,
Unaniliza sana,
Unaniumiza sana,
Unanibania sana,
Unaniyeyusha sana

Mimi babu yako mimi unanisononesha zaidi
 
Derimto ngoja niende kwenye duka la wholesale nikununulie thanks naona hapo unapoishi hawauzi thanks, nitakununulia thanks za mafungu

Kaka umeona wanavyonibania wakati wengine humu ndani nimewaokolea ndoa zao hasa kwa wale ambao perfmc.zao zilikuwa utata nimewasaidia na wengine ambao walikuwawa wanarukaruka huku na huko kutafuta asali nimewapa lakini wamenyamza kama WL. Dogo mimi nakushukuru kazilete na fuso mwanagu watakoma wenyewe na roho zao
 
Hii kupost via mobile
Hii kumpotezea babu vile,
Hii kutompigia vigelegele,
Hii kujifanya kimbelembele,
Hii kutonitafuta kule,
Hii kutonitangulia mbele,
Hii kunifanya nisile,
Hii kunifanya nsilale,

Umebadilika sana,
Unanisikitisha sana,
Unaniliza sana,
Unaniumiza sana,
Unanibania sana,
Unaniyeyusha sana

Mimi babu yako mimi unanisononesha zaidi

hahaha!sooo sweet!nimecheka sana,,,babu sijabadilika mbona jana tulikuwa wote library?ww unarukaruka sana bana
 
Back
Top Bottom