Halafu wewe ngoja Kimey aamuke ndo utamjua
Aisee Dena inamaana ni mimi tu ndo hujanimiss siyo?
Nambie au twende chumbani??
Jifanye mjanja tu ngoja aje utamjua
Wewe nimekumiss ila jana uilkuwa mkali mpaka nikaogopa kukusemesha
niliporudi home Bibi nae kanuna nikalala mapema na kuamka mapema hasira zimekwisha??
Etiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii????? Usinihusishe kwenye ugomvi tafadhali
hapo ndo unaponimaliza zaidi!mi nazidi kukupenda tu,,,,babu hv uliacha ukaguzi eee?
Hizo thanks mpaka zifike 30 ujue zina bajeti. la chumbani jibu linakuja sasa hivi
Ukaguzi nikiacha,
Hauoni mtachacha,
Mtalia kutwa kucha
Babu sitapata picha
Njoo huku nikukague sasa.
Nkucheki kama uko safi sasa,
Niiridhishe yangu nafsi sasa,
Roho yako iwe safi sasa.