Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
tangu umenitelekeza natanga tanga tu..wow thanks love, upo wapi jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tangu umenitelekeza natanga tanga tu..wow thanks love, upo wapi jamani
Mkuu we naujua msimu wako, ikifika tu nitakuwa nakuona.
Ila huu mwaka siuelewi kabisa, ngoja tuone.
Aisee ndugu yangu ulipotea mpaka watu wakazusha mabaya juu yako.
Uzuri niliyakemea mapepo, yakashindwa na kulegea.
Usipotee tena namna hiyo arif...
Alichanganya maharage na cha Arusha.Yule jamaa sijui alikuwa amekula maharage ya wapi arif....
Kuna wakati kaka muda wa kuitumikia JF unaeksipaya...
Aiseee umefikia stage mbaya ya kutomisiwa?itabidi nikupeleke kwa doctor manyau nyau akutoe nuksi
Uchukue tu ndugu yanguHoney Faith huu mguu nautaka
Uchukue tu ndugu yangu