Nimewamiss MMU members waliotoweka ghafla

Nimewamiss MMU members waliotoweka ghafla

Naam hao ni watu,pia wana kitu,sasa katika hicho kitu hujaki miss?
 
Watu8 kumbe upo??? Siwezi kukusahau wewe enzi hizo ndo nimejiunga jf aisee ulikua unanishushua balaa nikikoment tu shushu comment shushu yani wewe dah!

Mkuu nataka vipi pm kunaingilika nataka kuja kumwaga masongi yangu huko
 
Back
Top Bottom