Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Nimekumiss DEMBA!kule nako si kwa kukurupuka, unaweza ukapewa kichambo cha wanaume hadi ukashikwa na homa kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumiss DEMBA!kule nako si kwa kukurupuka, unaweza ukapewa kichambo cha wanaume hadi ukashikwa na homa kali
Aiseee umefikia stage mbaya ya kutomisiwa?itabidi nikupeleke kwa doctor manyau nyau akutoe nuksihakuna aliyenimiss humu?
umemisiwa na mimihakuna aliyenimiss humu?
umemisiwa na mimi
hee upo vin...long timeNa mie nimekumiss pia
hee upo vin...long time
poa tu myNipo my dear...za masiku mengi
poa tu my
Kwakweli hakuna[emoji12] [emoji12]hakuna aliyenimiss humu?
wameolewaKuna Jf members ambao kwa namna moja ama nyingine walilipamba sana jukwaa hili la MMU kipindi fulani kwa michango yao. Watu hao binafsi walikua wananifurahisha sana nafsi yangu kila mmoja kwa staili yake.
Ghafla tu nimejikuta nawakumbuka sana kwani kila nikiingia siwaoni kila nikiingia siwaoni jamani wapo wapi hawa watu??? How are they doing?? Ni muda mrefu kidogo umepita siwaoni oni jukwaani wamepatwa na nini huko jamani?? Anaewajua live bila chenga awape salamu zangu kuwa nimewakumbuka sana hapa jukwaani.
miss neddy Khantwe utafiti Excel mmepotea sana Manka m miss chagga mmepotea kidizain japo miss chagga Jana nilikuona nikakukoti makusudi tu ili nitambue uwepo wako kwakuwa nilikumiss sana na lara1 nimemis weekend storee na mashushu yake na tuvitu twingine twa ziada twingi twingi tu pia huwa napata vimisemo vingivingi kweli vinavoikonga roho yangu na kufanya siku yangu inoge.
Hao na wengineo weengi ambao sijawataja wamejificha wapi sikuhizi???
wow thanks love, upo wapi jamaniumemisiwa na mimi
Wakiolewa wanahamia ulimwengu meingine?wameolewa
wanaacha mambo ya kij,ng,a Ji.n.nga. wanakua busy na mambo ya familiaWakiolewa wanahamia ulimwengu meingine?