Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ulitaka mwenzio awe lokkapu peke yake? Ilikuwa ni msaada kwa kibinaadamu tu.
Ikabidi na mimi nijipe Lokkapu pia kuomboleza
Mhhhh,
Finest mbona unataka kunitafutia kesi? Ngoja tumalize kwanza thanks giving halafu tukutafutie jibu...
Enzi zetu ilikuwa mwiko kuzurura zurura hovyo...labda nyie wa dotcom na mambo yenu ya ISC...Sisi nei!
I missed reading from you too. Wewe ni kati ya watu naopenda posti zao haswa jukwaa hili la maisha
Welcome on board Dark City
mi mbn ni[o nipo sana tu?
Ahsante sana mdogo wangu,
Yaani najisikia kama ndo nilikuwa nje ya dunia...Great to see you all.
Chai tu........ila hili joto la kwetu tutapona?
Karibu tena babu ulipotea sana kwa kukosa busara zako wengine tulishaanza kukosa adabu ila wakuu wenzio wapo mstari wa mbele kutuongoza karibu ujumuike mkiungana wote tutazidi kua watiifu tukitaka kukosea tu tunajua kuna wababu watatuchapa bakora
Kwenye banda la kuku huwa unafanya nini????
Kwahiyo wengine umetuona magalasa si ndio eheee?????
Ahsante sana ndugu yangu,
Kuikosa JF siku moja ni janga la moyo..Siweza hata kueleza jinsi ambavyo nimeteseka!
Ahsante sana, tuko pamoja.
Karibu tena babu ulipotea sana kwa kukosa busara zako wengine tulishaanza kukosa adabu ila wakuu wenzio wapo mstari wa mbele kutuongoza karibu ujumuike mkiungana wote tutazidi kua watiifu tukitaka kukosea tu tunajua kuna wababu watatuchapa bakora
Wewe tena vipi, unataka kuharibu thanks giving eeehh?
Si nimekwambia tutakujibu tu au unaka nini tena Finest mjuu wangu?
Wewe tena vipi, unataka kuharibu thanks giving eeehh?
Si nimekwambia tutakujibu tu au unaka nini tena Finest mjuu wangu?
naokota mayai na kusafisha banda,pia kukusanya mbolea
Hamna shida leo mimi nasoma between the lines tu
Maty, Maty, Maaaaaaaaaaaaty.....
Hujambo lakini? Umesalimika siku zote...we need to catch up.
Nafurahi kusikiaa wajukuu zangu hamjachakachuliwa!