Nimewamiss sana JF members

Nimewamiss sana JF members

pole sana We missed u big tyme karibu tena kijiweni watakani chai gahawa?

Ahsante sana mdogo wangu,

Yaani najisikia kama ndo nilikuwa nje ya dunia...Great to see you all.

Chai tu........ila hili joto la kwetu tutapona?
 
Sasa ulitaka mwenzio awe lokkapu peke yake? Ilikuwa ni msaada kwa kibinaadamu tu.

Ikabidi na mimi nijipe Lokkapu pia kuomboleza

Kwahiyo wengine umetuona magalasa si ndio eheee?????
 
Karibu tena babu ulipotea sana kwa kukosa busara zako wengine tulishaanza kukosa adabu ila wakuu wenzio wapo mstari wa mbele kutuongoza karibu ujumuike mkiungana wote tutazidi kua watiifu tukitaka kukosea tu tunajua kuna wababu watatuchapa bakora
 
Mhhhh,

Finest mbona unataka kunitafutia kesi? Ngoja tumalize kwanza thanks giving halafu tukutafutie jibu...

Enzi zetu ilikuwa mwiko kuzurura zurura hovyo...labda nyie wa dotcom na mambo yenu ya ISC...Sisi nei!

Babu DC unanipa wasiwasi mlipotea ghafla halafu wote mmerudi siku moja
 
I missed reading from you too. Wewe ni kati ya watu naopenda posti zao haswa jukwaa hili la maisha

Welcome on board Dark City

Ahsante sana ndugu yangu,

Kuikosa JF siku moja ni janga la moyo..Siweza hata kueleza jinsi ambavyo nimeteseka!

Ahsante sana, tuko pamoja.
 
tuna mshukuru Mungu naona anakulinda na kukupigania japo bado uko safarini na ile pikipiki yako sijui lini utafikaaaaaaaa?
Ahsante sana mdogo wangu,

Yaani najisikia kama ndo nilikuwa nje ya dunia...Great to see you all.

Chai tu........ila hili joto la kwetu tutapona?
 
Karibu tena babu ulipotea sana kwa kukosa busara zako wengine tulishaanza kukosa adabu ila wakuu wenzio wapo mstari wa mbele kutuongoza karibu ujumuike mkiungana wote tutazidi kua watiifu tukitaka kukosea tu tunajua kuna wababu watatuchapa bakora

Oohh Maty Ohoo Maty
 
Kwahiyo wengine umetuona magalasa si ndio eheee?????

Abe?

Nilienda kuhakikisha tu kuwa anatumikia lokkapu kama inavyotakiwa. Si unajua kazi ya ualimu ilivyo!

wewe huwezi kuwa galasa hata siku moja, kiama kitasimama
 
Babu DC unanipa wasiwasi mlipotea ghafla halafu wote mmerudi siku moja

Wewe tena vipi, unataka kuharibu thanks giving eeehh?

Si nimekwambia tutakujibu tu au unaka nini tena Finest mjuu wangu?
 
Ahsante sana ndugu yangu,

Kuikosa JF siku moja ni janga la moyo..Siweza hata kueleza jinsi ambavyo nimeteseka!

Ahsante sana, tuko pamoja.

Mhh!!!! Babu haya mimi nasoma between the lines leo
 
Karibu tena babu ulipotea sana kwa kukosa busara zako wengine tulishaanza kukosa adabu ila wakuu wenzio wapo mstari wa mbele kutuongoza karibu ujumuike mkiungana wote tutazidi kua watiifu tukitaka kukosea tu tunajua kuna wababu watatuchapa bakora

Maty, Maty, Maaaaaaaaaaaaty.....

Hujambo lakini? Umesalimika siku zote...we need to catch up.

Nafurahi kusikiaa wajukuu zangu hamjachakachuliwa!
 
Wewe tena vipi, unataka kuharibu thanks giving eeehh?

Si nimekwambia tutakujibu tu au unaka nini tena Finest mjuu wangu?

DC msamehe Finest somo la hesabu lilimpiga chenga shule ya msingi yeye anadhani kila 1+1=2 ..........

subiri tutoe thanks kwanza leo, kisha utafunza mahesabu yanavyokwenda
 
tuna mshukuru Mungu naona anakulinda na kukupigania japo bado uko safarini na ile pikipiki yako sijui lini utafikaaaaaaaa?

Usihofu P,

Mungu yuko pamoja nasi ... anatupigania. So, tutafika tu!

Umemwona wapi mdogo wangu Bht?
 
Back
Top Bottom