Nimewaona Rais Magufuli, Prophet T.B Joshua na Profesa John Atta Mills

Wote wamekufa mwaka mmoja kuna Siri kuu hapa,uenda walikuwa chama kimoja
 
Ni ngumu kusapoti bandiko lako ni upande upi hasa umetenda kama ni wa Mungu au Shetani,maana hata ukiwa kwenye vyama vya kichawi na ukakosea masharti au ukagoma au ukawamaliza wa kutoa kafara, unaambiwa kabisa kafara ijayo ni zamu yako kutolewa,so unakuwa unajua siku yako ya kufa.Hivyo mda ukifika unaweza waaga watu wako.
 
Hiyo fedha wazazi wako waliyotumia kukusomesha bora wangefuga nguruwe.
 
Hao mbona bado wapo hapa hapa duniani na tayari karma ishaanza kufanya kazi yake. Hauoni alieshambuliwa haoneshi kuguswa sana na kesi zao. Ashamjua m'baya wake lkn analazimika kukaa kimya ili kulinda ugali wake. Sumu haionjwi kwa ulimi kijana.
Kumbe wapo ila nina mpanga mikakati mkuu hayupo! Hahaha

Dead men tell no tales..
 
Mihadarati imeanza kuharibu akili zako
 
Wewe endelea kuota.
Mungu huwa ni mwaminifu, auae kwa upanga atauwawa kwa upanga, kipimo uwapimiacho wengine nawe utapimiwa kipimo kicho.
 
Kaa kimya tu, humjui TB Joshua.
 
Mtoa mada nimefurahishwa na utunzi wako ambao yaelekea umefanya utafiti kabla huja jot humu.

Nimefurahi sana kuona umeweka wasifu wako na no. ya simu yako in case tukihitaji utuambie maana ya mbonela zetu.

Well done msomi na mcha Mungu ila hujaelezea vyema aliyoyasema Magu mwishoni na aliwaita hao watumishi wa Mola akiwa wapi, Nairobi, Dar, Chato au angani?
 
Wewe ni muongo mkubwa,na pengine unataka kuugua ugonjwa wa akili.
Magufuli hawezi kuwa sehemu moja na mtumishi wa Mungu,TB Joshua, Magufuli was a serial killer akae vp na mtumishi wa Mungu,?
Sijui hata Kama alipata muda wa kutubu
Na ukijua TB alikuwa Devil worshiper inakuwaje? Hujui saa ya mwisho ya mtu na Mungu wake? Acha kukariri vitu
 
Hakika Elimu ni kile unachobaki nacho baada ya kukariri hizi takataka! Umeenda ujinga na ukome kuhusisha maandiko matakatifu na hizi pumba zako
 
Kumbe wapo ila nina mpanga mikakati mkuu hayupo! Hahaha

Dead men tell no tales..
Kwa vile uchaguzi mkuu wa chama taifa ulikuwa unakaribia, na umaarufu wa Lisu ulikuwa unaongezeka ndani na nje ya chama, basi jamaa alionekana kuwa ni tishio kwa kiongozi fulan wa chama hicho, maana umaarufu wake na misimamo yake vingemfanya ashinde uchaguzi huo mapema sana na kumgaragaza kiongozi alie madarakan (rejea boko aliyotoa mwenyekiti ktk uchaguzi mkuu wa 2015, ambao ulimuondolea umaarufu na heshima ndani ya chama) Kwahiyo kwa kukataa aibu hiyo ndio ikabuniwa mbinu tofauti na ile iliyotumika kwa Chacha Wangwe na Zito.

Ila kwa bahati mbaya mission ilifeli lkn jamaa hakuweza tena kugombea nafasi yoyote ndan ya chama. Hali hii ilitaka kumtokea na Sumaye katika uchaguzi mkuu wa chama.

Alijifanya kumchalenji mwenyekiti wa chama katika nafasi yake, ila bahati nzuri yeye ni waziri mkuu mstaafu anaelindwa na serikali kwahiyo wazee wa mfumo wakawahi kumshtua kuhusu maji, au chakula chochote atacholetewa ktk vikao vya chama asivitumie.

Bila shaka unaikumbuka ile kauli ya sumu haionjwi kwa ulimi na kama umeenda shule utakuwa unaelewa kilichomaanishwa. Kwahiyo haya yanayoendelea ni karma ya Lisu, Chacha Wangwe na wengine ambao hatuwafahamu. RIP Chacha Wangwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…