Kwa vile uchaguzi mkuu wa chama taifa ulikuwa unakaribia, na umaarufu wa Lisu ulikuwa unaongezeka ndani na nje ya chama, basi jamaa alionekana kuwa ni tishio kwa kiongozi fulan wa chama hicho, maana umaarufu wake na misimamo yake vingemfanya ashinde uchaguzi huo mapema sana na kumgaragaza kiongozi alie madarakan (rejea boko aliyotoa mwenyekiti ktk uchaguzi mkuu wa 2015, ambao ulimuondolea umaarufu na heshima ndani ya chama) Kwahiyo kwa kukataa aibu hiyo ndio ikabuniwa mbinu tofauti na ile iliyotumika kwa Chacha Wangwe na Zito. Ila kwa bahati mbaya mission ilifeli lkn jamaa hakuweza tena kugombea nafasi yoyote ndan ya chama. Hali hii ilitaka kumtokea na Sumaye katika uchaguzi mkuu wa chama. Alijifanya kumchalenji mwenyekiti wa chama katika nafasi yake, ila bahati nzuri yeye ni waziri mkuu mstaafu anaelindwa na serikali kwahiyo wazee wa mfumo wakawahi kumshtua kuhusu maji, au chakula chochote atacholetewa ktk vikao vya chama asivitumie. Bila shaka unaikumbuka ile kauli ya sumu haionjwi kwa ulimi na kama umeenda shule utakuwa unaelewa kilichomaanishwa. Kwahiyo haya yanayoendelea ni karma ya Lisu, Chacha Wangwe na wengine ambao hatuwafahamu. RIP Chacha Wangwe.